Recent content by Mr Sanguine

  1. Mr Sanguine

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Hawa "wachambuzi" ni WAJINGA wakubwa! Hawajui wafanyacho! Waswahili tulishasema kitambo kuwa: JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA, ila hawa watoto wenye mchanganyiko wa shahawa za wazungu wanajifanya wana akili za kujua hatari za pension bila hata kuwa nazo! Wanaboa sana
  2. Mr Sanguine

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Unaongea kwa hisia! Hii inaonyesha huu mfumo umelenga kututawala. Mtu nimestaafu, siyo mtumishi tena halafu nimfatefate aliyekuwa mwajili wangu nimlilie anipe Ela ambayo yangu kaishikilia kama yake ilhali mimi siyo mfanyakazi wake! Ujinga huu tusiutetee kwa kutumia "usomi."
  3. Mr Sanguine

    Msaada, Epson L850 imenigomea

    Naam Kaka. Saivi inapiga kazi fresh kabisa.
  4. Mr Sanguine

    Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

    Sijaitumia sana, ndo nataka kuanza kuitumia vizuri. Ila Quality ya picha hairidhishi kama inavyosifiwa na wengi. Nimeambiwa L805 Ina afadhali kuliko L850 katika suala la picha. But all in all, iko vizuri katika documents nyingine kama copying, printing and scanning.
  5. Mr Sanguine

    Camera gani nzuri kwa Photographer chipukizi?

    Bei yake ikoje Mkuu
  6. Mr Sanguine

    Camera gani nzuri kwa Photographer chipukizi?

    Boss, Nina Canon hapa Megapixel 20 lakini Quality yake ni majanga kabisa!
  7. Mr Sanguine

    Camera gani nzuri kwa Photographer chipukizi?

    Naomba kujua aina gani ya Camera Ina quality nzuri ya picha zake. Nahitaji kuanza ka biashara kadogo ka kupiga picha na passports size. Wazoefu wa mambo haya naomba mnisaidie Sasa nijue nanunua camera gani kwa kazi hii niliyoamua kuifanya na ikiwezekana, na Bei ya camera kabisa.
  8. Mr Sanguine

    Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

    Nisbapata boss. Zipo nyingi sana pale Kariakoo Dar es Salaam! Ni 960,000/= kwa Epson L850 na 780,000/= kwa Epson L805.
  9. Mr Sanguine

    Msaada, Epson L850 imenigomea

    Nimenunua Epson L850, sasa baada ya kujaza wino wake, printer inaonyesha messsage hii: "See the setup manual to complete the initial ink charging." Hapo sasa nimedata maana nilishamaliza kujaza wino na nimejaza kwa usahihi kabisa. Anayejua namna ya ku bypass hapa anisaidie, Mwl.RCT
  10. Mr Sanguine

    Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

    Duh! Umenipa elimu balaa! Vipi hujapata hilo tenda la kupiga picha?
  11. Mr Sanguine

    Nikisafisha picha kwa Tsh 2000 itanilipa?

    Vipi kwa L850 Mkuu?
  12. Mr Sanguine

    Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

    She ngapi Boss? Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
  13. Mr Sanguine

    Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

    Naomba mrejesho Mkuu, nami natafuta L850 na L3060
  14. Mr Sanguine

    Bado natafuta ajira jamani sijapata mpaka sasa

    Una umri gani hadi Sasa na unaweza kufanya kazi maeneo yoyote?
Back
Top Bottom