sauda rajabu
Member
- Sep 4, 2016
- 66
- 40
Bado natafuta ajira jaman sijapata mpk sasa.
Yeyote atakaehitaji mfanyakazi wa usafi iwe nyumban au kokote niko tayari.
Yeyote atakaehitaji mfanyakazi wa usafi iwe nyumban au kokote niko tayari.
N pm namba yakoBado natafuta ajira jaman sijapata mpk sasa.
Yeyote atakaehitaji mfanyakazi wa usafi iwe nyumban au kokote niko tayari.
Huna ela ya kumlipa mfanyakazi wewe komaa na masomoUsalama wa mali yangu unanihakikishia vipi,
Wewe unaishi wapi??
Kama usalama upo upo tu na sio kila mfanyakazi ni mwizi na kumbuka wanaoenda jera siku zote sio wenye hatia.Usalama wa mali yangu unanihakikishia vipi,
Wewe unaishi wapi??
Mara nyingn unaweza ukafanya ww uharifu au familia unayoishi nayo ndani ila kwa kumkomoa tu mfanyakazi utamsingizia yy. Ila ushauri wangu ungeweka cctv camera kwa kulinda mali zako zaidi.Usalama wa mali yangu unanihakikishia vipi,
Wewe unaishi wapi??
Una umri gani hadi Sasa na unaweza kufanya kazi maeneo yoyote?Bado natafuta ajira jaman sijapata mpk sasa.
Yeyote atakaehitaji mfanyakazi wa usafi iwe nyumban au kokote niko tayari.
JAMANI LIFE NGUMU MIMI PIA NATAFUTA KAZI TUSAIDIENI
Bado natafuta ajira jaman sijapata mpk sasa.
Yeyote atakaehitaji mfanyakazi wa usafi iwe nyumban au kokote niko tayari.
Duu yaani wwNipigie 0692470547/0658276181
Kakomaa nipigie then anawaunga network marketing [emoji2]Duu yaani ww
Mkuu kama una ajira nyingi si utoe tu tangazo watu waombe maana kila aliyeomba kaz humu unamuandikia akupigie kama post 50Nipigie 0692470547/0658276181
Kila anaetafuta ampigie namba hiyo bora sijui kama kuna usalama hukooooo 😂😂😂😂😂Duu yaani ww