Recent content by Mr Rugwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kilindi na mauaji ya kijiji cha Madina, Handeni: Kupotea (kuuliwa) kwa Rajab Omari Mtana

    Kijana ahuwez kutambua lengo la mwandsh yy amejitahd kukupa ushahid wa hali halis ilyotokea huko kilindi na serkal jinsi gani inavyoweweseka kuchukua maamuz paspo maamuz yalyokuwa stahiki.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto na CHADEMA ni sawa na mchongaji aliyeogopa sanamu alilolichonga mwenyewe.

    Zitto ni zaid ya chadema
  3. M

    JamiiForums Tanzania TBC,kwa nini hamtaki watu wajifunze?

    Tido muhando nitakukumbuka sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dr.Shein alikuwa kikaragosi kwenye akili za akina Lukuvi? Nasikitika sana

    Nikipata muda nitairejelea hii mada sababu umenena yanayotakikana kunenwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukawa mkakati wa ushindi huu hapa

    J Mheshimwa Pr ibrahmu lipumba alishakwisha kulizungumza hili kuwa yy hana hadhi yakupigania ktk jimbo yy anataka kuipigia nchi ktk kuinua kiuchumi na cyo kulitetea jimbo. Kwa hao wengne swadakta huko sahiih naunga mkono hoja.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Hofu ya Ugaidi,Polisi Ipige Marufuku Mikutano Yote Ya Kidini na Kisiasa Nchini

    Hofu ya ugaid?'.Ni nani huyo gaidi je ni nn maana ya,neno gaidi? kijana ucpende kuandika kichwa cha habari kizito namna hyo kwa utashi wako wakisiasa kwa dhana potofu juu ya mtazamo wako ambayo tafsir yako unashindwa kuhibain.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    Mh kwa mtazamo wng na iman bado ujatoa suluh ya nn ya nn kifanyke ninahc bado umejarbu kuzunguka mbuya kwa bahati mbaya au nzuri umeshndwa kuukumbatia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Speed na viwango vya namna hii cy tunavyovihitaji cc wananchi. Tunahtajia speed yenye ueledi wa maoni ya wananchi na viwango vya ufanisi bora wa katiba ya watanzania wote na cy katiba ya wanachama au wanakikund fulani
  9. M

    JamiiForums Tanzania JK, umma ukiamua ndio umeamua

    Nafungamanq na ww kwa namna moja au nyngne lkn ninalaziada katk hili.Mh Jakaya au Baba Ridh yy alihutubia huku akijinadi kuwa au ni maoni yke lkn maamuz yko kwa wananchi wenyewe na akacctzia kwa wajumbe wa katiba waisome vizuri mno rasinu ya katiba mstar kwa mstari,neno kwa neno na sentensi kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Cpend na ctaki kabisa jambo hili nyeti ya maisha,ya watanzania kuingizwa hekaya,na matashi ya mtu au kikundi cha watu. Nawasiii sana,wajumbe hli tekelezen maoni ya,wananchi na ondooeni itikadi zenu za aina yeyote ile Mh sitta jamii ya,watanzania yote iko kwako sasa uckubal kuwa chambo cha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Niko mum nwk w pili mbona sikubatka kuona hy miujiza zaid ya haki kutendeka wapo wakrsto.Hp hta uwe na ucha mungu wa namna gani hauwz kubebwa zaid ya kufaulu kwako.Au unataka kupromote kaul yk kwa mtazamo wa dini ya kikrsto kutotendewa hk dhid ya waumin wk ndan ya hii kampac.Kuwa muelewa ktk...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.

    Kiuhalisia hvyo ndivyo vitu vinavyowakwaza hawa wazandiki na mafedhuli wa chadema hasa kibaraka hiki cha mbowe anayealalaisha Gongo Mchungaji Silaha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Maswala Kwa kipi hasa Zzk awe chini nakuwaomba radhi hao wenye ukanda ,udini,na ukabila kwa kukifanya hiki chama ni chao. ZZK ninakusihi hakuna kuwaomba radhi wala kujifanyisha mdogo dhidi yako ww cmamia haki na demokrasia ya kweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Ametangulia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mzee Abood Jumbe,J.K Nyerere (baba wa taifa) hakutenda haki!

    Kijana tambua kuwa Aboud Jumbe yy mwnyw kwa mkono wake ameyaandka hayo ulio ambiwa.Rejelea kwny kitabu chake the partership
Back
Top Bottom