Hata mimi ningewakuta wanakula na mm ningeunga kambi kwasababu ishu ya kula nyama ijumaa kuu ni sheria ya wa roman catholic cyo ya wakristo wote kwasababu wengne tunafuata biblia na ukiisoma vzr hakuna kipengele kinachotaja nyama isiliwe ijumaa kuu kwahyo ndugu yng imani yako uciifanye kama...
nachukia watu wanao mlaumu majaliwa jiulize maswal haya kabla hujamlaum
*majaliwa ni Pm ana pata taarifa kwa wakubwa zake
*je kama mzee hakutaka itangazwe
*na je kama walipanga kupunguza taharuki wakati ule
+ukitaka kuamin angalia shahuku ya watanzania wakati ule alafu angalia muda waliokuja...
Sisi tutabaki tukimlaum pm na mwigulu ila tunasahau viapo vyao vinaahd kutunza Siri za serekal kwa namna yoyote ile pengine huenda mkuu hakutaka kutangazwa anaumwa Ndyo sababab na wao walitunza Siri Kama viapo vyao vinavyo taka
shida ya sisi watanzania niwepesi Sana kuhukumu bila kufikiria Huyu...
we uliyosoma Vipi tena mbn Hujui kuandika hebu Pitia hayo majina Uliyo yaandika Kama ni sahh
Hauko makin bro unawenge na chuki zakipumbavu pevuka kuwa mtu Mzima utajua maana ya maisha ya dunia hii Uki nijibu ni we pimbi usipo nijibu umeniogopa
Haka kamchezo hakahtaj hasira calm down
Watanzania Hatuna tamaduni hizo cjui nyie mmetoa Wapi hizo Roho Hakuna kiongoz duniani toka kuumbwa kwa ulimwengu amewah kuw mkamilifu Kwenye uongoz wake lazma awe na dosari lkn pamoja na yote amefany meng Sana watu wa Hali ya Chini na Wapend haki ndo wanaelewa Jinsi gn inauma kumpoteza Huyu...
Watu ni waongo mkuu kuna wngne wanasema vyanzo vya kuaminika ndo vimewaambia alafu Ukimkuta huyo anayekuambia anavyanzo vyakuaminika ni mchemsha Kahawa gengeni Eti anavyanzo vya kuaminika bongo bhna 😂😂
Aya Leo tumemuona huyo kaka Yupo hai yeye nayule mwenye sigda kwenye Paji La uso wako Ibadan...
Wakati mwingine kwenye heading unaandika "Nina tatizo La mawe kwenye nyongo" ukiandika nina shida ya mawe kwenye nyongo wengine watatafsiri pengine unayahtaj hayo mawe au unayatafuta any way pole ndugu utapona
Yaan Kama kunawatu ni wanafik duniani ni watanzania mtu anathubutu kusema kikwete arudi madarakani Yaan wanasahau wale viongozi wao njaa kali walivyokuw wanambeza hadharani kwamba hafai Mara Hana msimamo, Hakai Tanzania akatulia anasafiri kilacku Mara nchi ilikuw masikini twiga wanabebwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.