Natafuta kazi ya hotel mahali popote

Natafuta kazi ya hotel mahali popote

Mr rocker

Member
Joined
May 15, 2020
Posts
35
Reaction score
50
Habari za kutwa ndugu zng Mimi ni Kijana wa miaka 24 nimesomea mambo ya hospitality kwny kitengo cha hotel management Nna uzoefu wa kutosha kwny fani yangu nmefany kaz miaka icyopungua (4) kwenye hotel za Hadhi ya nyota 5 Nmeona niwashirikishe watanzania wenzangu mwny connection yoyote ani Dm ntamtoa kidogo nikifanikiwa mkoa wowote nafanya na cyo Lzm iwe nyota 5 lkn icwe guest house tu.
  • Nazungumza lugha mbili kiingereza na kiswahili
  • Nina vyeti vyote Kwanzia sekondari hadi chuo
  • Nina vyeti vya tuzo za Mfanyakaz bora
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI

3.3.2021
 
ngoja kuna link nikupe kuna kazi nyingi zimetangazwa
 
Position gani
Hotel gani ya nyota tano kwa mfano.
 
Nisibiri kunyapia connection kabla ya muhusika
 
Ntamuuliza rama kitilya kama anakufahamu na itendaji wako upoje.
Ucjal kaka muulize Rama anaijua Vzr tuu Napia vyeti vyang vinajielez Vzr pia kama unaconnection nisaidie kaka Njoo hata dm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom