Recent content by Mr rockcity

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua GPA ya mkuu wa kaya....

    Na ukishaijua, itakusaidia nini?. Tafuta vitu vya kukusaidia, acha mambo ya umbea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Uwepo wa baba katika familia unaongeza intelligency/akili ya mtoto

    Ahsante kwa kutupatia elimu iyo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

    Mimi mwenyewe mara ya kwanza wakati ninaanza kugegedana na binti wa kwanza, uume ulikuwa goi goi, na baadae ukalala kabisa, yule binti alonishauri nivue kondom, niligoma kwa sababu nilihitaji kilinda afya yangu. Baada ya kushindwa tendo nilipata mawazo sana, siku iliyofuata ilibidi niendele...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli, fuatilia utendaji kazi katika Halmashauri, hasa ya Jiji la Mwanza

    Rushwa ni adui wa haki, hiki hivi vitendo havitakiwi kufimbiwa macho, huyu mwanasheria anatakiwa atumbuliwe jipu, anaonekana kama vile amesahaulika.
Back
Top Bottom