Recent content by Mr. PriceKing Two

  1. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Anaetaka dada wa kazi

    Upo wapi kuna mtu anahitaji sana ...
  2. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania R.I.P young billionea Jimmy Mcmelle, daima tutakukumbuka mpendwa wetu

    dah nimecheka sana mkuu....
  3. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Marlin Hassan - TBC
  4. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    Umenichekesha sana mkuu dah....
  5. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana nguvu Iringa

    Safi mkuu maana mie sikujua nimjibuje ingawa sio mhehe nimeona amekosa hekima kabisa
  6. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana nguvu Iringa

    Mkuu yaani kwa semina yako ya siku tano umetoa hitimisho ya research yako Duu...ok, kwa kifupi niijuavyo Iringa si kweli uliyoyasema hamna kitu ka hicho tena ungewajua wahehe kiundani nadhani usingeandika hayo ....mkuu
  7. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania East Africa wedding dresses suppliers..based Tz

    Kukodi gaun ah ngapi ase
  8. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kununua vile viatu vya kuslide barabarani madereva wakigoma hamna tabu

    Kwanza utatoa meno yote mkuu.....kama hujawahi tumia utafika ofisini huna reception asee
  9. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

    Haha...ni shida asee
  10. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

    Mkuu ni kweli lakin uandishi wako jitaidi ueleweke vizuri
  11. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Vodacom na JAY Milion Wezi

    Wanakera sana hawa voda siwapendi ka nini na promotion zao za wizi....afadhari airtel mpaka ujiunge kifurushi unaingizwa direct ....sasa voda ni shida mpaka line yao situmii mpaka wamalize wizi wao huo
  12. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Dah jaman before october 2015 so sad news ....RIP captain
  13. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na Mtanzania very Intelligent!

    Sasa wewe utawajuaje ma intellegent wakati wewe ni wa kawaida sana wanakuona....ungekuwa smart and intelligent basi ungekutana nao wengi mkuu. Bahati mbaya unaweza sema ivo kumbe hata sehemu zako za ulizopita hajawahi kaa intelligent hata moja jaribu pia kucheki na vijiwe vyako na vyao ndo...
  14. Mr. PriceKing Two

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi benki acheni ulimbukeni

    Sidhani kama upo sahihi na wazo lako....anyway ni mtazamo wako umewakosea sana lakini
Back
Top Bottom