Tunakumbuka shuka kumekucha, hizi dini wanaangalia maslahi yao tu na ni taasisi za kivita(gang) sio kiroho. Hiyo kujiita kiroho ni geresha tu kuteka akili zetu watu weusi.
Ni kweli na mtu akiona hivyo anahisi mambo ni magumu ama anapata elimu bora kuliko kwingine kumbe wanaomsupervise hawapo seriously. Kwenye elimu ukiwa-commited wewe na supervisor wako mambo yanakwenda vizuri tu, ila mmoja wenu kati hapo akizingua utaona kila kitu ni kigumu.
JamiiForums mobile app
Shida ya watu wengi wanadhani kitu kufanywa kigumu ndio kwamba ni bora(si kweli). Duniani hakuna kitu kigumu, kinachofanya kitu kuwa kigumu ni uelewa wako tu kwenye hilo jambo. Kuna vyuo vizuri na bora kama Jordan navinginevyo ambavyo huwezi kuvisikia vikijimwambafai lakini vinatoa taaluma nzuri...
Sawa alikua na madhaifu yake lakini unakosea kusema hakufanya lolote. Hakuna Rais ambaye hajafanya kitu kama kuna sehemu kulikua na changamoto iseme ili aliyepo nae arekebishe tusonge mbele otherwise hata huyu aliyepo akiondoka utasema hivyohivyo hakufanya kitu.
JamiiForums mobile app
Ukweli mchungu ni kwamba BBC Swahili imekosa mvuto siku hizi. Kuna siku wiki iliyopita walimuhoji Prof flani aelezee kuhusu tetemeko lililotokea Libya hata alivyoelezea ilikua balaa. Wajifunze kwa vipindi vilivyopita vya wabobezi ili waboreshe, wakiona ni majungu waache kufanyia kazi wanaenda...
Katiba mpya itakuja ila tunataka tuelewe hiyo iliyopo inasemaje, hatuna haraka tusije tukaandika katiba nyingine mbovu kuliko hii iliyopo. Mama endelea kutuletea wananchi maendeleo tunakuelewa sana.
JamiiForums mobile app
Watu wanabishana bure lakini rasilimali zetu zimetawanywa kila mahali. Unaweza kumsema Rais vibaya kwasababu za kisiasa lakini ule ukweli anapiga kazi. Pia wawekezaji wanapowekeza sehemu wanategemea return ya hiyo investment. Kwamfano jengo lililozinduliwa juzi ni la PAPU AFRICA 60% ni hela...
Sio kweli hujui kitu acha watumishi wenyewe waeleze usilete siasa uchwara kwenye haya mambo. Unaonekana kama unatetea ila kumbe unatetea usichokijua kisa ni kada ama unasaka cheo tu cha kisiasa. Kaa kimya. Barua zote za ajira na hata za kupanda vyeo zimeainisha nanukuu " your incremental date...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.