aisee umefika mbali au na mi nikushushie matus ili tushindane nani zaid hahaha
Mkuu maana yangu ni kwamba kila mmoja akisema ajichukulie sheria au maamuz kama yako itafikia hatua tutaishia jera na ref watu wanaua wanawake zao wengine wanaua waume zao asa kwann tufikie huko au we huoni athari zake

Mimi huwa naangalia mada zinazonigusa hisia kwa siku husika au muda husika wenye tukio husika
mfano kama siku nimeamka nina hisia na mpira basi siku hiyo mada nitazozipa kipaumbele ni za mpira kama ni kuchapiwa ni hivyohivyo nk
Na kingine ni ngumu kuanza kusoma use name ya muhusika wakati...
ni kweli uzi wa kipumbavu haiwezekan una akili timamu akaja kujisifu huu upunga
Vijana wa saiv hovyo kabisa tena utubu huo upuuz mamamamae, swal la nyongeza hv wewe hujawai kuchepuka au kucheat huko ulikokuwepo sema kweli ? Alafu nikupe kisa kwann huyo mkeo alifanya hayo mnahukumu binadam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.