WanaJF naomba mnijuze suala hili, kwamba ni vipi waziri anapovuliwa uwaziri wake kwa vitendo vya ubadhirifu na ufisadi anaendelea kuwa mbunge wakati hivyo ni vitendo vya jinai? Kwa wadhifa wa mbunge naye ni mjumbe wa baraza la madiwani ktk halmashauri yake ambalo hupitisha maamuzi mbalimbali, je...
Hi wanajamii forum, ikiwa leo ni mara yangu ya kwanza kuchangia katika safu hii ningependa kuwapongeza kwa michango yenu mingi iliyobeba hoja nzito.
kuhusu hili nawashangaa baadhi ya wabunge wa CCM ambao walijipambanua kama vinara wa kupambana na ufisadi wakiongozwa na Anne kilango Malechela na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.