CCM katika hali mbaya Arusha; kigogo mwingine (Bananga) atimkia CHADEMA

Hata shetani alikuja ili utukufu wa Mungu udhihirike. Big up Ze Presda Dk. Ukweli ni kwamba bila JK Ccm isingeanguka.
 
icon1.png
Re: CCM imekwisha Arusha; kigogo mwingine atimkia CHADEMA

Ni dhahiri kuwa CCM kiliacha dira yake ya kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi takriban miaka ishirini iliyopita na sasa kimekuwa ni chama cha matajiri, wezi na viongozi wa miaka nenda rudi ambao wako kwenye harakati za kukirithisha kwa watoto wao. Kimsingi kimepoteza uwezo wake wa kuwaletea maisha bora watanzania ambao wengi wanakabiliwa kwa ukali zaidi na maadui watatu ambao wamekuwa wakiwasumbua tangu uhuru yaani UJINGA, UMASKINI na MARADHI.

Ila kusema ukweli sioni ni kwa vipi CHADEMA kimejiandaa kuziba ombwe la kuwa ni chama cha wanyonge yaani cha wakulima na wafanyakazi ili kibebe matumaini kama CCM kilivyo yabeba kwa miaka mingi kabla ya kutekwa na matajiri. CHADEMA kama ilivyo CCM ni waumini wakubwa wa soko huria ambalo limejengwa kwenye msingi wa mwenye nguvu mpishe.

Ni kweli kuwa chama chochote kitakachoingia madarakani kikiweza kupambana na kudhibiti ufisadi na mianya mingine ya rushwa kinaweza kufanya miradi ya kiserikali kama kujenga barabara, shule na hospitali kuliko inavyofanya CCM hivi sasa. Lakini je hilo ndilo jibu la matatizo ya msingi ya mtanzania (UJINGA, MARADHI na UMASKINI) wa sasa na je jibu hilo yatatupeleka kwenye maisha bora kwa kila mtanzania?

Nayaongea haya nikiwa siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa japo ni mfuatiliaji mzuri tu wa harakati za kisiasa.

Just thinking aloud guys.

"Tatizo lako hufatilii mambo kwa kina ndiyo maana unasema hivi, nakushauri jaribu kufatilia ilani ya chama cha CHADEMA uone walivyo ainisha mambo mbalimbali yatakayoweza kulikomboa taifa hili", kuliko kubaki unaandika thread zako za kifala, usiwe kama "gambaz".
 
Magamba watakuja kusema alikuwa mmoja wa waliokusudiwa kuchukuliwa hatua za nidhamu kwa kukosa maadili ........na ndiyo maana kachomoa!
 
karibu sana kwenye mapambano ya kuikomboa nchi yetu ktk mikono ya MAFISADI mwaka 2015 na hata sasa
 
Ni uamuzi wa busara, ujasiri na uzalendo. Karibu sana uwapiganie wanyonge wenzio.
 
kwetuu pazuri nimeshapakumbuka ninayohamu kuishi na cdm yng...yng,ona ccm imejaa dhulma km hujui nenda kw raia uone

Mkuu unatisha kwa editing, nimecheka sanna, nikirudi ktk thread ya Bananga, uyo mtoto wa kigogo anayevuluga UVCCM Arusha ni Ridhiwani, hata kamanda Ole Millya alikua aelewani na haka katoto ikapelekea Ole Millya akamwambia Watanzania walimchagua Baba yako (Kikwete) siyo wewe Ridhiwani, kana nongwa kweli
 
alikua kwenye list ya kujivua gamba

hayo siyo maneno yangu bali ni ya Nape Nnauye
 
Arusha itakuwa kitovu cha CDM. kwa mtindo huu 2015 CCM inaweza kubaki na jimbo la Monduli tu.
 
Back
Top Bottom