Mkuu hongera sana kuwa na ndoto ya kumiliki ghorofa.Ukifanikiwa kuanza mchakato,karibu tuwasiliane kwa ajili ya kazi ya Structural design and drawings!pia ukihitaji ushauri wa kitaalam katika area hio karibu!
Kama mtu bado ana fikra za namna hii (chuo flani ni bora kuliko kingine) basi naweza kusema anahitaji ukombozi wa kifikra kwa kifupi hajaelimika na elimu yake haijamsaidia. Kutambua uwepo wa hizi Univ.Ranking na kwamba chuo gani ni no. ngapi ni sawa kabisa but kama...
ipo application inaitwa PDA NET na MY-WIFI for i-PHONE hizi zinakuwezesha kutengeneza wifi hotspot and u can share that wifi to your comp.and with ur friends.kwa maelezo mengine inakuwezesha kutumia internet ya simu(i phone) ktk compyuta yako na kuwagia wengine pia.
ok i don't know much about it ,but what i know it is not similar to structural and transport though keep in mind that all speciality in civil engineering share common background(mwanzoni course/modules zinafanana and mwishon ndo kunakuwa na utofauti).
civil and irrigation is a speciality aiming...
Ni ukweli usiopingika kuwa both Arch. na civil ni field zinazotegemeana,ktk projects kubwa utakuta architect anaandaa architectural drawings,then civil engineer anaandaa structural drawings(columns,beams,stairs e.t.c) na QS(quantity surveyor) anafanya estimation ya materials na cost..kwa...
Hii mada siyo ya msingi kama aliyeileta ana mtazamo wa kiushindani zaidi, ila kama lengo ni kuelimishana hapo naweza toa mtazamo wangu..tatizo ni watu kushindwa kutofautisha malengo ya mafunzo husika/kozi,kwani huwezi kucompare mtu wa UDSM or DIT.Mfumo wa elimu ktk chuo cha UDSM unamuandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.