Recent content by Mr Ntinginya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    kwa maslahi mapana labda ya chama sio watanzania. Sijajua nani aliwamezesha sumu hii, kutusemea ili hali mnachokisema hakitoki kwa watanzania bali kwako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fumbo za shetani 5:Hubiri ulichoitiwa

    https://youtu.be/koFZXcMWfAc?si=0zoWXSw-SWrm0wA7
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya ufalme

    https://youtu.be/aKU5VNs6QYw?si=FJWd_arcRqBGZPVo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

    I continue to receive!!!! what does he think he is?? He think he is the head of the world? he speaks like he in charge of everything🤔 He must speak anyway, his office is few steps away from becoming in charge of everything.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayeaminiwa na kupendwa zaidi na wananchi wake Afrika Mashariki

    Mmh!!! Like mother like son
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayeaminiwa na kupendwa zaidi na wananchi wake Afrika Mashariki

    Sijajua unayoyaongea yanayoka wapi. Iwe ni utaratibu wa chama ama wake yeye binafsi ama serikali, nasty is nasty!!! Kujipendekeza ni kujipendekeza, kuvaa wigi ni kuvaa wigi. Kama tunampenda raisi wetu tunampenda hata kama hatabandika mabango, na kama hatumpendi vivyo vivyo, hata hii kauli yako...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayeaminiwa na kupendwa zaidi na wananchi wake Afrika Mashariki

    Kwani umma hatuoni anachokifanya?? Tunajua anachokifanya, na cha ajabu ni kwamba sifa zenyewe anazobandika hazina hata mantiki, zaidi ni kama kujidharirisha mwenyewe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayeaminiwa na kupendwa zaidi na wananchi wake Afrika Mashariki

    Angekuwa anapendwa asingebandika mabango njia nzima kujipendekeza aonekane mzuri ili apendwe. Mtu anayependwa need no make-ups
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

    That's doesnt mean all men are extroverts though. Dont blame her for being introvert as she doesnt blame you for being extrovert.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiwakilisha Tanzania na kuipasha nchi vizuri sana Kimataifa

    Please, tumechoka na mabango yenu. Barabara zote zimejaa mabango na humu tena.
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sheria iliyotungwa kuiondoa Sheria ili kumpatia haki asiye haki

    Nianze makala hii kwa kutoa mfano halisi ambao nilikutana nao mimi mwenyewe. Siku moja nilikutana na tafrani kati ya dereva bajaji na askari barabara. Kile kilichotukia ni dereva kukamatwa akiwarekodi video askari barabarani wakipokea hongo kutoka kwa dereva wa bajaji aliyekuwa mbele yake. Simu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    1.Hiyo biashara yako nakushauri uipeleke india. Inafaa zaidi ukaishi na waaminifu wenzako. Kama uliweza kukaa na mwizi you are a man of experince, There is always a solution to every problem, 2.Malengo yako ni ya kichoyo; kuua biashara za wengine ambazo ndio risky zao ni plan ya Ki-IDDI AMINI...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 University students' projects in disguise

    There is one thing in universities especially for engineering takers called PROJECT, it usually pops up at the last year. Taking one’s idea into real practice is how I can shortly describe a project. An engineering student owed a project presentation before calling himself/herself a graduate...
Back
Top Bottom