Recent content by Mr. Mwalu

  1. Mr. Mwalu

    Wanasiasa wameiteka Taifa Stars Misri, wasanii unafiki kama kawa!

    Next time tujifunze, peleka kina muchacho na kidedea yao miaka yote wanatuhamasisha viwanjani badala ya kutuletea walevi
  2. Mr. Mwalu

    Kila la kheri Taifa stars "dhahifu", dhidi ya timu bora kabisa ya Senegal

    Formation 1-10-0 utasema amunike alkuwa beki enzi zake
  3. Mr. Mwalu

    Nahitaji kurent apartment kwa siku moja

    niliwah kuwatumia hawa Airbnb: Vacation Rentals, Homes, Experiences & Places walinisaidia sana
  4. Mr. Mwalu

    Tushuhudie Live Tukio la Kuwasilishwa Kwa Ripoti ya CAG, Leo Saa 3:00 Asubuhi.Je ni Yenywe Halisi Yenye Sahihi ya CAG Prof.Assad or ni Fake?

    https://mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Shughuli-za-Bunge-leo-taarifa-ya-CAG-Profesa-Assad-yaorodheshwa/1597580-5064630-format-xhtml-x3rry1/index.html?fbclid=IwAR1l6c9kA-ACv1pvjBoU1m_QT9y6u9jqRXaJLZ37xOE_ydRNH3W_0ZANrYU
  5. Mr. Mwalu

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Tanga dar masaa mawili na nusu! gari za dar - mombasa mnatoka kariakoo opposite na kituo cha daladala cha congo Tahfif saa kumi unawahi futar Tanga tashrif mnatoka tanga saa tano asubui unawah lunch dar saa saba!
  6. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    https://pbs.twimg.com/media/D3GgBSGW0AMTGRk.jpg:large
  7. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    https://pbs.twimg.com/media/D3GgBSGW0AMTGRk.jpg:large
  8. Mr. Mwalu

    Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

    Tiba abdalah wa polisi moro na Jimmy shonji wa lipuli Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    "dogo" AMN ni kiraka anapiga (deputise) kote kote lwb or rwb ingawa amezaliwa kama midfield wa chini, na kola ni mzuri kwa kwenda mbele (kushambulia) ulinzi hayuko vizuri! lakin kama tushawah kutengeneza kina cashley cole inakuwaje?
  10. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hernandez amenunuliwa kwa hela ndefu kuja kumreplace alaba,siyo kama back up! na mara nyingi footballers wakianza kutumika mapema wanachoka mapema kabla hata ya kufika 30, chukulia mfano wa michael owen! sikatai kama hawezi kutufaa. kuja kwake kunazuia kijana kukua, mfano mkubwa ni alivyo...
  11. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    TUKO pamoja brother ila natamani kuona tunaachana na haya makapi, tutengeneze kikosi au tuchukue wakiwa on their way up, au wakiwa kwenye peak kama tulivyofanya kwa auba! check kwa leichensteirner sijui kama nimepatia jina!
  12. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Alaba yupo post his best that's why wanamreplace! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mr. Mwalu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa nini target inakuwa kwa hawa failures, bado hatujajufunza kwa Suarez, tuwaamini vijana tuwatengeneze watakuja kuwa vizuri tu, mavropro na yule wa kingreza! Naamin with proper game time na proper training wata prosper tu, tuwaamin Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom