Recent content by Mr. Mpevu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Kwani Malisa alimtukana nani? Marekani Alienda kwa ajili ya kozi maalum ya utawala na Demokrasia kwa miezi 9. Nasikia ht Kikwete aliwahi kupata fursa hiyo. Hakuwa mkimbizi wala Assylum seeker km unavyodhani.Kozi imeisha. Anarudi nyumbani. Tatizo ni nn hapo hadi hiyo serikali unayosema ina nguvu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani?

    Kwani CCM bado ipo? Waliopo ni Polisi badala ya CCM. Ukibishana na CCM unabishana na Polisi. Kwa hiyo kusema CCM hawafuatilii mambo ya wapinzani ni fikra zinazotoka kwenye Bongo zilizolala.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamekataa maigizo ya Nchimbi, hiki ni kiwewe cha siku 30 za Commonwealth.

    Ile kweli ni Nyara ya serikali. Ukipambana nalo utapewa kesi ya ujangili. CCM wamekaba kote kote. Uhaini, ughaidi hadi ujangili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanapotaka watanzania wapambanie katiba mpya, wanatakiwa kupambana na nani?

    Kweli kabisa. Anataka watu waanze kupambania katiba mpya wajulikane wapewe kesi za ughaidi waoozee kwenye Jela zao. Labda hawajatosheka na mateso wanayowapa watanzania. Wameteka, wameua, wameweka watu ndani kwa uhaini, wameona haitoshi, wamebuni ughaidi. Ss wanatuambia tuipambanie Katiba mpya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

    Hahahaa. Serikali yote imeandamanishwa bila kupenda. Tena wao wameanza kuandamana mapema sana. Km lengo lilikuwa maandamani basi limetimia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Tulijua tu wewe mtekaji utakuja na drama zako ili kuhalalisha uovu wenu. For sure mwisho upo tu hata ukijitahidi kuteka na kuua watu au kuwasapoti wanaoteka na kuua. Hamuwezi kuteka na kuua kwa muda wote. Wengi mtawaua na kuwapoteza lakini ipo siku tu mtalipia huu ushetani wenu huu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa vyama 13 vya upinzani wapinga kuundwa kwa tume kutoka nje ya nchi ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29

    Haishangazi. CCM ipo km Irana. Ina vyama proxies inavyovifadhili km Irana inavyofadhili proxies zake kina Isbullah, Houth nk. Lazima viunge mkono kila kinachotakiwa na mfadhili wao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia taifa siku ya kesho Mei Mosi (1 Mei, 2026)

    Hivi huyu mpumbavu anayeitwa mwashambwa alizaliwa wapi na mwaka gn ili niilaani cku hiyo niitoe katika kalenda ya siku ninazozitambua?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Hapo unaelezea unachotamani kiwe au kitokee lkn isivyo bahati hali haiko hivyo wala hiyo drone ya Baibui hata Iran wenyewe ndo wanaisikia kutoka kwako. Hata hizo ndege, Iran wenyewe wanakushangaa umeziona wapi kwenye Ardhi yao. Ishi kwa matumaini. Yanaweza kutokea baadaye. Usikate tamaa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unachokipitia sasa ni matokeo ya kile ambacho ulikianzisha zamani

    Huyu mtu ana mawazo ya hovyo sana. Sasa km watu wanaokufa ndio wanaorudi Duniani, ina maana toka maisha yaanze Duniani kulikuwa na idadi hiyo hiyo ya watu ndio wanaojirudia kuzaliwa. Mbona idadi ya watu Duniani inaongezeka. Hivi hawa watu wanaodai kila siku sijui kuna roho, mara zinaenda motoni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unachokipitia sasa ni matokeo ya kile ambacho ulikianzisha zamani

    Huyu mtu ana mawazo ya hovyo sana. Sasa km watu wanaokufa ndio wanaorudi Duniani, ina maana toka maisha yaanze Duniani kulikuwa na idadi hiyo hiyo ya watu ndio wanaojirudia kuzaliwa. Mbona idadi ya watu Duniani inaongezeka. Hivi hawa watu wanaodai kila siku sijui kuna roho, mara zinaenda motoni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini TEC hawakutoa ushirikiano kwa Tume ya Jaji Chande?

    Kauli thabiti na imara sana kutoka kwako Paschal Mayala. TEC hawajipendekezi kwa mtu wala hawahitaji kuwa machawa ili mambo yao yaende. Kwao nyeupe ni nyeupe. Utake au usitake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Kweli kabisa. Wanajua huyo Mwashambwa ni bwege fulani hivi lisilojielewa ndo mana wanalipa post za kipumbavu wakijua hawezi kuelewa lentewe litapist tu lipate buku 7 zake linunue bando lisifie mkuu wao mbumbumbu..
Back
Top Bottom