Hauko pekeako mkuu, wew chukulia kama vile umetoka kusaka ajira, umekoswa nauli, ukatembea gizani bas umekutana na wahuni wamekupora kile ulichokuwa nacho na kukitegemea kikuokoe kisha wakakupa na makofi juu in "In Kala Jeremiah's voice" Nyanyuka songa mbele usikate tamaa, kila unapoitwa...