Recent content by Mr.MONDO

  1. M

    JamiiForums Tanzania DECK YA VHS(VHS PLAYER)

    Nimekupm check inbox
  2. M

    JamiiForums Tanzania DECK YA VHS(VHS PLAYER)

    Unapatikana wapi naihitaji hiyo panasonic
  3. M

    JamiiForums Tanzania DECK YA VHS(VHS PLAYER)

    Wadau mabo vp natafuta deck za vhs ikiwezekana iwe combo au single vhs player ili mradi iwe na uwezo wa kuplay vhs na iwe katika hali nzuri na kufanya kazi bila matatizo nina shida nayo kinoma
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WA KISHERIA

    Ndugu wanajamii wenzangu mimi mfanyakazi katika kampuni moja ya kimataifa(sitoitaja jina) nimefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja bila ya kupewa mkataba licha ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa na elimu ya kutosha(Shahada ya kwanza) pamoja na uzoefu.Nimeshuhudia watu wakitoka nje ya nchi wakipewa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu kuhusu malipo ya adsense Tanzania

    WESTERN UNION ndo mpango mzima kibongobongo na ipo fasta sana siku hela inaingia unaweza kutoa siku hiyohiyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Napata dola 100+ kwa siku kupitia google adsense, nipo Mbeya

    Mjomba hakuna miujiza hapa hii ni real fact tena incase kama una blog au website maarufu sana uhakika wa kuingiza zaidi ya dola mia upo najua watu ambao wanaingiza kuanzia dola 30 mpaka 70 kwa siku ila inabidi uwe serious kwelikweli na akili yako yote ifocus huko.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Adsense account for sale(account ya adsense inauzwa)

    Account ya adsense yenye balance ya US$46.22 inapatikana kwa Tshs200,000 nicheck PM kama unaihitaji.Account imekuwa approved kwa blog tu(hosted). Nakuuzia account pamoja na salio lake fanya hima.....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

    Ana tabia za kishoga kivipi bro fafanua kidogo mi nilijua jamaa sela kiaina
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

    Yap jamaa ndo anamiliki mzigo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Italia Wavumbua Kifaa cha Kuongeza Urefu wa Uume

    Zipo through surgery lakini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Italia Wavumbua Kifaa cha Kuongeza Urefu wa Uume

    Kiungo cha binadamu kinapokuwa na kasoro kufanyiwa marekebisho sio kufuru chukulia mfano una uume mdogo kupita kawaida hata ukimtia msichana mwenye bikra hafeel kitu chochote utaendelea kukaa hivyo hivyo bila kujaribu utaritibu wowote?...Halafu vile vile tatizo la uume kuwa mdogo sana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Italia Wavumbua Kifaa cha Kuongeza Urefu wa Uume

    Okay unamtia mimba mkeo halafu anaenda kukojoleshwa na jamaa mwingine.....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

    Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV kinavunja Maadili

    Sioni maadili yoyote yaliyovunjwa kama ni viuno vinakatwa tokea enzi za mababu....na hata wakifungia watafungia vitu vingapi haya mambo yapo kila kona yamezagaa kwenye mitandao ya kijamii ndo usiseme ukifungia huku watu wanahamia huku. Mwanamke wa kiafrica mwenye umbo la kibantu akikata kiuno...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Italia Wavumbua Kifaa cha Kuongeza Urefu wa Uume

    kama ulichonacho hakina dili unajivunia kitu gani....uume kama penseli hata mtoto wa darasa la saba atakukimbia....bora kufa kuliko kuishi kwa fedheha
Back
Top Bottom