Recent content by mr.molel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    yeye alikuwa nafanya nn sio kushukuru
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    matamko sio kuwa na msingi mbona yeye alikuwa kwao ruangwa alikuwa anafanya nn? sio kushukuru ache mihemko kila chama inahaki ya kufanya siasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matangazo ya tiba za asili na tiba mbadala

    je sisi wamasai tunae usa madawa pale libeti mwanza maarufu darajani ndiyo bac tena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    utakuta anapitia hili jukwaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    epison sehemu ya pili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangallah unapotea, tafuta staili nyingine

    katiba mpya itaondoa haya yote kila mtu atafanya kazi kulingana na cv yake sio kwasababu ni mbunge wa ccm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema Sumaye hajatoa masharti ya kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu

    kwa lipi kwasababu baraza la mawaziri ni bovu kama muhongo amerudi hasara tuliopata ya bilion 300 kwa kashifa ya esrcow alikuwa kipovu wakati wanakata pesa sio ya umma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Vikosi vya JWTZ vyaanza kuondoka Zanzibar

    umeambiwa ni jwtz sio vikosi tofautisha vikosi ni vya zbr
  9. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema Sumaye hajatoa masharti ya kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu

    kwani anapewa au kamati kuu ndiyo inamchagua katibu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    magazeti kimya redio kimya kunan? ss tulioko pembezoni kupata habari ni tabu sn mwenye habari atuweke jamani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    tupe kilichojiri jana nan mshindi ccm vs cuf kama uko masasi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    mbona kimya mpaka sasa arusha tulipata mapema kwann masasi na ludewa kimya sn jaman nilioko huko tuleteni kilichojiri jana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT-Wazalendo atoa waraka mzito kwa Serikali ya Magufuli juu ya sakata la Uchaguzi

    suluhisho la zbr ni kumtangaza mshindi sio kuleta uja uja
Back
Top Bottom