Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Unajisikiaje pale wabunge waliovaa mashati ya kijani wote wanamzomea Tundu Lissu, au Mbatia au Mama Magdalena Sakaya?
Unapata wazo moja tu, kuwa anaonewa. Hata kama mbunge huyo wa upinzani kazungumza "pumba".
Kwa kuwa ni ukweli ulio wazi ni wabunge wachache tu wa CCM ndio wanaweza kujieleza, kuchambua mambo na kuelewa na kuyawasilisha kwa kutumia akili yao, karibu wote wanasubiri order tu ya kukubali na kuanza kupiga makofi kila neno huku wengne wakipamba na vigelegele.
Huwa nahisi raha sana pale mbunge wa upinzani(yeyote) anaposimama na kuanza kuivunjavunja serikali na kuishauri huku CCM wakiwa wamenuna kama wanasikilizia maumivu.
Hata kama jimbo lenu halina jina kubwa, chagua upinzani. Hakika akisimama bungeni mara mbili tu, nchi yote tumemjua na tutajua jimbo alilotoka.
Ndo maana nasema NI RAHA SANA KUWA NA MBUNGE WA UPINZANI JIMBONI KWAKO(ila sio sample ya yuda wa kigoma).