Kwa wakuu wote wa shule wanaotafuta/hitaji walim kwa o-level na a-level kwa masomo ya economics, geog, eng, math, gs, hist, kisw, civics kwa a&o level wanapatikana hapa ni wazoefu na wote wana ngazi ya shahada.
Wapo tayari kufanya kazi mahali popote kwa ngazi tajwa zote MSHAHARA NI MAELEWANO...