Recent content by Mr Lee Joon Ki

  1. M

    Kwa yeyote mwenye shida ya pesa ya haraka na anaeuza laptop yake tuwasiliane

    Habari yako Kiongozi, samahani mimi ninashida na kazi so naomba msaada wako tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Msaada Tafadhali

    Sawah nashukuru sana kiongoz. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Msaada Tafadhali

    Na je ukitaka kuiyona post yako mwenyewe ya zamani unafanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Inamaana gan hii kiongozi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    EPSON L805 PRINTER

    Wadau mimi ni Technician and Operator of Office Machine za aina zote yaani Photocopy machine, Printers, Fax and Lamination Machine kwa hiyo naombeni msaada wenu wa kupata ajira hata nikipata nafasi ya kazi kwenye stationery nitashukuru sanaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

  7. M

    JE, UNAFAHAMU NINI KUHUSU 3G AU 4G,TOFAUTI ZAKE NA MENGINE.

    Kweli nimepata somo na nimeingiza kitu kwenye ufahamu wangu daaah shukrani broh.
  8. M

    Naombeni msaada jamani.

    Elimu hiyo tulipewa kabla hajawekewa maana tulikuwa wote ila nimeomba msaada huu huku ili kuondoa hofu baina yangu na mwenzangu.
  9. M

    Naombeni msaada jamani.

    Sawah nashukuru kwa ushauri wako mzuri na wenye manufaa ilah mwezi uliopita hakuingia mwezini kabisa na baada ya hapo ndio limeanza tatizo hilo na hivyo vijiti ameweka mwezi wa 9 mwanzoni mwaka huu.
  10. M

    Naombeni msaada jamani.

    Hautoi harufu ilah labla kama ulivyosema kuwa inawezekana ikawa ni damu ya zamani ndio inatoka.
  11. M

    Naombeni msaada jamani.

    Hautoi harufu na piah hauna mda maalum wa kutoka yaani kama mwanamke akiwa period vile anavyokuwa jinsi anavyokuwa na unatoka kama ute ute flan hiv.
  12. M

    Naombeni msaada jamani.

    Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
  13. M

    Afya.

    Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
Back
Top Bottom