Kwa yeyote mwenye shida ya pesa ya haraka na anaeuza laptop yake tuwasiliane

CSM Kariakoo

Member
Mar 21, 2019
23
12
Habari wakuu Nauitwa Alphobce Christopher ni mkurugenzi mtendaji CSM Connect

Ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa ndanda tunajishughulisha na uuzaji wa computer na accessories mpya, used na refurbished pamoja na matengenezo yake yote
Pia huduma za graphics na ICT

Kwa yyte ambae ana laptop inayofanya kazi vizuri bila tatizo lolote

Una shida ya pesa ya haraka tunakukaribisha utuuzie kwa utaratibu rahisi tu

Hakikisha tu una risiti yake ulionunulia kama hauna basi tutaandikishana kituo cha polisi au kwa uongozi wa serikali ili kupada documents official

Kama uko interested tupigie
+255754516975
csmconnects.com
Instagram csm_connects_tzSent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom