EPSON L805 PRINTER

SECRET AGENT

Senior Member
Jan 4, 2019
154
250
Msaada kwa mwenye uelewa hizi printer hivi ndo hizi ambazo hazitumii cartridge?? Na vipi kuhusu bei maana kuna mdau kanambia alichukua dar kwa 1.5 million ni kweli bei yake ndo hiyo au uongo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,275
2,000
Zina cartridge mkuu ila hizi zina uwezo wa ku_print via sim yako ya mkononi zina kama gamut 6 ink
 
SangaweJr

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
2,836
2,000
Wakuu na mm niongezee hapa swali langu vipi kuhusu Epson ET-3750. Kwa matumizi ya kawaida sio makubwa sana ina faa, na bei yake ipo kwa Dar mwenye kujua tafadhali anijuze.

SangaweJr
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,811
2,000
Msaada kwa mwenye uelewa hizi printer hivi ndo hizi ambazo hazitumii cartridge?? Na vipi kuhusu bei maana kuna mdau kanambia alichukua dar kwa 1.5 million ni kweli bei yake ndo hiyo au uongo??

Sent using Jamii Forums mobile app

ZInatumia Integrated external ink Tanks kwa hivyo hatusemi kwamba zinatumia catridge bali ni mitungi ya nje. Kwa maana kwamba wino ukiisha haubadilishi catridge bali unajaza wino kwenye mitungi iliyopo nje. L805 ni kama L800 iliyoboreshwa isipokuwa huwa hazina scanner.

Catridge zake zipo ndani zimechomekwa kwenye Print Head ambapo wewe hutakuwa unazigusa kabisa labda kama zina matatizo, kinyume na hapo wewe kazi yako ni kujaza tu wino na hutoshughulika na catridge kabisa.

kuhusu bei sina uhakika.
 
Nov 16, 2018
18
45
Laki 9 mpaka m1

1.5 ni l1800 ambazo zinaprint a3

Kuwa makini sana ndugu yangu hela ngumu
Usiibiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau mimi ni Technician and Operator of Office Machine za aina zote yaani Photocopy machine, Printers, Fax and Lamination Machine kwa hiyo naombeni msaada wenu wa kupata ajira hata nikipata nafasi ya kazi kwenye stationery nitashukuru sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SECRET AGENT

Senior Member
Jan 4, 2019
154
250
ZInatumia Integrated external ink Tanks kwa hivyo hatusemi kwamba zinatumia catridge bali ni mitungi ya nje. Kwa maana kwamba wino ukiisha haubadilishi catridge bali unajaza wino kwenye mitungi iliyopo nje. L805 ni kama L800 iliyoboreshwa isipokuwa huwa hazina scanner.

Catridge zake zipo ndani zimechomekwa kwenye Print Head ambapo wewe hutakuwa unazigusa kabisa labda kama zina matatizo, kinyume na hapo wewe kazi yako ni kujaza tu wino na hutoshughulika na catridge kabisa.

kuhusu bei sina uhakika.
Thanks kwa ufafanuz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nov 16, 2018
18
45
Wadau mimi ni Technician and Operator of Office Machine za aina zote yaani Photocopy machine, Printers, Fax and Lamination Machine kwa hiyo naombeni msaada wenu wa kupata ajira hata nikipata nafasi ya kazi kwenye stationery nitashukuru sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom