Recent content by Mr kimaro

  1. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo (kama 5 hadi 10) hakutakuwa na wakala wa M-Pesa tena

    Hii Hii ipoje kwn app yao tyr nshaipakuw, tatizo linakuja kwny kuweka salio ili nifanue miamala na mm nipo kibaha
  2. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza sabuni bila mashine Inauzwa

    Mlandiz maeneo gan boss kwan na mm napatikana mlandiz kibiashar nipo hapo stand,nataman kufika kujifunza mambo kadhaa kwako tafadhal
  3. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Global Alliance. Je, ni matapeli?

    Macho ukungu macho kuwasha, nmekuwa nikishauriw sana kuingia kwny hii kitu, kuna dada mmoja ndo ana mwez wa pili hv bas kila siku ananishawish, kanifuata mpaka nilipo lkn sina iman kwn nilienda kupata semina ya qnet, mtaj 5.m,aliyepigwa na hao alliance ajitokeze tupate faida jmn
  4. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua bei za mihogo, shamba lipo kibaha, ekari tatu

    Naomba kufaham, je mtaj wa kuanzia hicho kilimo ulianza na bei gan na mpaka unavuna unategemea kupata bei gan, mm nina shamba huku mlandiz bado cjaanza kulima kwn sina utalaam ndo nautafuta kwenu
  5. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Hii biashara naiwazia kila siku, mpaka hapa nishapata muelekeo! Pia nina frem mpya barabarani maeneo ya Mlandizi, je nifungue tigo pesa na sim au nianze na tg pesa kwanza kwani mtaji haujakuwa sana
  6. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

    Naomba kufaham kwa undan biashara hii ya saloon, leo nmetoka kuobgea na jamaa zng wanasaloon, nkawauliza hiv mikifungua saloon ya kiume kisha nikamweka kijana nkiwa na maana ya kuibgia naye mkataba wa kila mwez anioe mzigo wng, kwa sik amaweza kunikusanyia bie gan? Wakanijib lbd elf 5 kwa sik...
  7. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Wadau kwa mwenye msaada, Mchwa wananisumbua

    Hii inapatikana kwny maduka ya dawa na pembejeo?
  8. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Wadau kwa mwenye msaada, Mchwa wananisumbua

    Pole sana ndg yng, umepambana
  9. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Wadau kwa mwenye msaada, Mchwa wananisumbua

    Nashukur kwa msaada, nitapitia maduka hayo kuulizia, hakika wanaudh hawa wadudu
  10. Mr kimaro

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mchwa

    Jamn mm nymb yng milango inaliwa na mchwa hatar, hasa kipind cha mvua wanjitokeza kwa wingi, kuna dawa nlienda kununua hardwear ilisaidia kidogo, naomb msaada wa dawa madhubuti kuwatokomeza kbs
Back
Top Bottom