Dawa ya mchwa

Dawa ya mchwa

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,020
Jameni wanaJF ushauri wenu ni wa mhimu sana kwangu, hasa madoctor wa Mifugo, wadudu,nk; mafundi wa nyumba; au mtu yeyote yule mwenye uelewa na tatizo hili au amewahi kukumbana nalo.

Mm nina kakiwanja kadogo sehemu flani hivi nahitaji angalau kuanza kuweka kibanda (ujenzi wa kinyumba) ila sehemu husika nime Isurvey nimeona kuna vichuguu vidogovidogo ndani ya ardhi hasa wakati wa kiangazi ndio huonekana vzr, na mchwa wakiwa wamejenga udongo wao. Napenda nipate dawa ya kuwadhibiti (kuwa angamiza) kabla au wakati wa kujenga msingi. Kwani nimewahi kuona madhara ya hawa wadudu kwa nyumba ya jamaa yangu mmoja.

Nacho omba hapa ni:
1. Majina ya dawa kabambe za kuwadhibiti hawa wadudu
2. Pia njia mbadala, baada ya dawa kupatikana kuhakikisha hawataonekana tena kwenye kuta za nyumba. Yaani wakati unataka kujenga ufanye nn ili wasije kuleta tena madhara ndani ya nyumba au kwenye kuta ua msingi (foundation)?


Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu.
 
Sifahamu matumizi yake sahihi ila inaitwa GLADIATOR inapatikana kwenye maduka ya agrovet.
 
please tumia neno SUMU unapotaka ushauri kuhusu kuangamiza chochote kiharibifu. dawa sio neno sahihi. kwaushauri nenda Agrovet kuna madawa mengi na watakushuari pia ninini cha kufanya. usiku mwema
 
please tumia neno SUMU unapotaka ushauri kuhusu kuangamiza chochote kiharibifu. dawa sio neno sahihi. kwaushauri nenda Agrovet kuna madawa mengi na watakushuari pia ninini cha kufanya. usiku mwema

Noted mkuu, ila naogopa kutumia neno "sumu" (ukali wa maneno) make sumu cku izi inatumika vbaya. Usiku mwema pia.
 
Jamn mm nymb yng milango inaliwa na mchwa hatar, hasa kipind cha mvua wanjitokeza kwa wingi, kuna dawa nlienda kununua hardwear ilisaidia kidogo, naomb msaada wa dawa madhubuti kuwatokomeza kbs
 
mm niliwaona nikafuatilia njia zao,jamani chini ya Msingi kwa ndani kuna pango hapa nilipo Nina presha
 
Yule malkia wao sikumuona, kumbe wanajenga mji wa hatar. Kama unavyojua kasri. Yaani Kwa chini
 
Back
Top Bottom