Nataka kujua bei za mihogo, shamba lipo kibaha, ekari tatu

ha ha ha,eti "mimi ni mama"
anyway hii project ya mihogo naona inafaa kabisa,hivi mbegu zinapatikana madukani kweli?
 
Ndiyo mkuu nauzia shambani, huwa nalima mihogo aina ya kiroba




Naomba kufaham, je mtaj wa kuanzia hicho kilimo ulianza na bei gan na mpaka unavuna unategemea kupata bei gan, mm nina shamba huku mlandiz bado cjaanza kulima kwn sina utalaam ndo nautafuta kwenu
 
Back
Top Bottom