Recent content by mr.kifather

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uko wapi uhuru wa mahakama kwenye rasimu ya katiba mpya????

    Ukisoma hii article 151 (1) "Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwamajina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama na kabla ya kuapishwa jina lake litawasilishwa Bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na Bunge". unaweza ukazani mahakama imewekwa huru kutoka kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    watanzania hatuwez kuwa wapuuz kiasi hiki hayo n maon yako na familia yako sio watanzania wote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    wako sahihi kabisa wanafunzi wakipimwa jinsi unavyotaka pendekeza hatutakuwa na wasomi.....walimu wata chakachua wanafunzi watapewa marksi nyingi za bure ili shule zionekane zinafanya vizuri.....tujiulize swali kama mtihani wa taifa watu wana nunua na kuwapa wanafunzi itakuwaje tukisema 40% ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    naamin brain ya binadamu hufanya kazi zaidi inapo hisi "sense of fear" kupaka rangi division zero ni kutengeneza mazigira ya wanafunzi kutojituma akijua mwishoni hakuna aibu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    nakataa 100% mtanzania mwenzangu kuondoa division zero ni sawa na kupulizia pafyumu mwili wenye kunuka jasho harufu itabadilika ila itakuwa kali zaidi yenye kuleta mafua. maoni yangu ni wahusika wote wazazi, wanafunzi, seikali na jamii kwa ujumla tutimize wajibu wetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kigezo cha Urais ni CV, 2015 Bernard Membe Hana Mpinzani katika watangaza nia waliopo!

    msamehe bure ametumwa njaa zinamponza
  7. M

    JamiiForums Tanzania GESI YA MTWARA: Huu ndio unafiki wa wasomi na wanasiasa.

    watu wasinge hoji mambo haya kama serikali ingefanya mgawanyo sawa wa maendeleo kwa mikoa yote tumechoka kila kitu dsm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM au watu wa Mtwara yupi ni mhaini?

    wana JF nimejaribu kujiuliza mambo yafuatayo sijapata jibu sahihi naomba mawazo yenu. 1)serikali imeshusha standard ya ufaulu wanafunzi darasa la saba mwaka huu na kudanganya uma ufaulu umeongezeka, je huu ni uzalendo? na si uhaini? 2)serikali ili binafsisha reli ya kati kwa mwekezaji asiye na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nyalandu matatani: Adaiwa ndiye mmiliki wa Nitoke Safaris Ltd

    basi tuseme nyoronyoro
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA,naomba niwaulize?

    hakikisha unawafungua macho na jirani zako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    Candid Scope viongoz waliopatikana kwa hak hujiamin cku zote ila waliopita kimafia huishia kujipendekeza pendekeza....kaza buti fili
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM WAKE UP!! We Are At War! So All Weapons Are Fair Game!!

    very wise mind
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Chadema

    siamin kama elimu kubwa inamfanya mtu kuwa kiongozi mzuri........................
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

    ajibu nini wakati hoja zinamhusu kinoma.....ana uchuna ili asiamshe hasira zaidi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kenya: Vyama vya Upinzani vyatangaza kuungana, umati Mkubwa usiopimika

    tatizo langu ni wewe kufananisha dini na siasa "imani na falsafa" ni vitu tofauti sana............inaweza kabisa falsafa kufanana mfano "tanu" na "asp"
Back
Top Bottom