Recent content by Mr Kazi

  1. M

    Dereva wa uber au bolt anahitajika

    120,000 kwa week Niko tayari kufanya. Vigezo vyote ninavyo. Mawasiliano zaidi 0629281942
  2. M

    Looking for business manager

    Weka na malipo maana Kuna interview kama tatu nimefanya wanakuambia hakuna mshahara ila Kuna posho 10k kwa siku. Tatizo la maboss mna take advantage ukosefu wa ajira ndo mnachukulia kigezo cha kukandamiza watu.
  3. M

    Nani amewahi kupata kazi ya UNV?

    Mkuu naomba nitumie pia hapa miles900700@gmail.com
  4. M

    Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

    Biashara hii kea kweli imekuwa ngumu, mimi nina gari yangu na nimefanya Sana lakini faida hamna zaidi ya kuchosha gari. Uber wanadai 25% ya trip kwa maana trip ya 10000 wao wanataka 2500. Hvyo bas unawekewa deni kwenye mtandao ulipie kwa tigo pesa. Bolt wanadai 11% kwa trip nao huweka deni na...
  5. M

    Ninatafuta kibarua /kazi

    Ukipata lessen tafuta wadhamin wa kuaminika ntakupa pik pik, acha kusubiri vibarua utanyanyasika na kutumikishwa
  6. M

    Ninatafuta kibarua /kazi

    Tafuta lesseni ingia hata barabarani, uwe boda boda au vyovyote pesa ipo mtaani
  7. M

    Ajira Kuwait

    Mawasiliano yako
  8. M

    Je, gari aina ya Carina T.I inaweza kuleta faida ikiingia kwenye biashara ya Ubber?

    Kama yako unafanya na unapata pesa kama ya kupeleka hesabu itakucost kidogo au inategemea na malipo ya hesabu
  9. M

    Mkulazi Interview Update Kada ya Udereva Ina Ukakasi. Je, Ma HR Ndivyo Mnavyofanya Huu Utaratibu Au...?

    Tafuta connection acha kulialia, kila mtu saiv anapambana kivyake haki katafute kwemu au kwako
  10. M

    Senior Driver at TANROADS Simiyu

    Tanroad 700k mshahara mdogo kwa dereva 350k ni serikalini wanaoendesha SM au waajiriwa wa halmashauri
  11. M

    Anahitajika Afisa Masoko - Pombe Kali

    Mkuu weka e mail au namba za simu iwe rahis kukufikia
  12. M

    Update za kazi za TASAF

    Kazi yoyote ya mashirika ya serikali au kupitia ajira portal usiombe kama huna refa au connection maana saivi nafasi zinatoka chache wahitaji ni wengi, matangazo yanatolewa kufuata utaratibu wa kuajiri lakin watu wameshaajiria nyuma na kuanza kazi nyie mnafanya maombi ya kuchaguliwa na kujipanga...
  13. M

    Update za kazi za TASAF

    Ukiwa na connection kabla hata ya deadline ya kuisha upo kazini, interview za saiv ni kukamilisha utaratibu lakin watu washapewa kazi muda tuu. Saivi connection ndo kila kitu
Back
Top Bottom