Mwalimu anatafuta nafasi ya kazi

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Kuna rafiki yangu mmoja, ni mwalimu kitaaluma (university graduate) amesomea Historia na fasihi kwa Kiingereza (Literature in English) anatafuta pahala pa kuwa anapata angalau pesa za kujikim kimaisha maana hali kwake ngum, kiufupi jamaa sasa hivi anakula kwa mama jambo ambalo alinieleza kuwa linamuudhi japo hana chaguo.

Kwa mara kadhaa jamaa niliwahi muunganisha na twishen centre mtaani kwetu lakini sasa response ya watu ikawa ndogo hivyo bas akaishia kupata wanafunzi watatu hivo darasa likawa limeyumba kwa upande wake maana hakuweza kupata pesa za kujiendesha mwenyewe kama vile kulipa kodi ya nyumba aliko ish n.k, pia kuna mtu nilimuunga nae kituo flan ni kitwishen centre kwa Dsm lakini naye jamaa yule hakueleweka kiujumla.

Hivyo basi, nimekuja kwenu wana jamvi hili kama kuna mtu ana angalau twishen centre na ana uhitaji wa mwalimu hasa katika masomo ya History and Literature, au kama kuna mtu ana shule binafsi yenye uhitaji wa mwalimu katika masomo husika bas tuungane kumsaidia jamaa yetu, mtanzania mwenzetu,, kusaidiana ni jambo la hiari asee

Mwenyemahitaji awasiliane naye kwa 0629104978
 
Motive yake kujitegemea then naona Hustle zake amejifunga na degree yake tu.
 
Hizo hapo
IMG_20200816_100254_145.jpg
 
Back
Top Bottom