Kinachoumiza wengi wao ni masikini wanatafuta tonge dogo daah asee msingi wako wamkopo ndo unateketea alafu familia yako inakutegemea alooo sikia kwa mtu tu hizi ishu
Mwanamke anasamehewa vyote lakini si usaliti kaka kama kuna usaliti umetendeka na mwanamke kwanza hakuna mwanaume anaevumilia usariti hivo ushauri wangu achana nae atakuja akuue ila familia yako ilee kwa mapenzi yote
nauza simu yangu iphone 12pro boks lake lipo imepasuka tu back glass
face id inafanya kazi
camera zote zinafanya kazi na kali balaa
battery health 88%
no message
0657977457 whatsapp na kawaida
naitoa kwa laki 6 punguzo lipo kidogo na shida exchange nafanya ila anaetoa pesa ahakikishe anatoa...
PAD ZA XBOX ORIGINAL NAUZA 150000 Moja maongezi yapo
ni og
Genuine Xbox Series S/X Wireless Controller
zinatumika pia kwenye pc kwakutumia waya wa type c au bluetooth
0657977457
Dar es salaam
Iphone 12 pro clean as new 💯
💰750000/= TSH 🇹🇿
💾storage 128gb
🔋battery health 80%
🔑face id ✅
☎️0657977457
📍Dar es salaam
mali ni safi imetunzwa mno boksi lake lipo
ukinunua utapata naa protector 2 original ambazo nirahisi kuziweka hazihitaji fundi
tatizo lililopo ni creck ndogo upande wa nyuma
Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457
Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb
Nauza Tsh 600000/= laki sita
inacheza games zote wakuu niwewe tuu
na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika
0657977457
📍Dar es Salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.