Recent content by Mr International

  1. M

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Hiyo ni staili ya kupitisha upepo, si tunawajua. Walishakamatwa wangapi? Makachero gani hawakugundua kuna shida? Intelejensia yetu mko wapi?
  2. M

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Jamani nawaambia hivi, watu kama hao wanafanya hivyo ili wawahamishe mawazo yenu, leo hili kesho lile! Kama wote tutastick kwenye zile mada za maana, achana na watu.
  3. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hivi kama wanatka kuchinga wao, Na Nguruwe watatuchinjia?
  4. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Naona hapa kuna shida, inawezekana kabisa baada ya kuona mwamko wa wananchi kisiasa, watawala wametafuta njia ya kuwahadaa wananchi ili wapoteze muda kwenye hilo ili wenyewe wafanye vyao, UPEPO UPITE! tuna tabia ya kuhamia kwenye kitu kipya, na kusahau cha awali. Naomba tuachane na mambo ya...
  5. M

    TBC1 hawaeleweki

    tuchotakiwa ni kutumia nguvu ya umma kuinyima BAJETI! Tuone wataiendeshaje! Au haiwezekani? Si mali yetu au?
  6. M

    Makinda against sitta! Kazi kweli!

    Kumbe lengo halikuwa kuliongoza bunge!!!! Aaaaaa nimegundua!!
  7. M

    Makinda against sitta! Kazi kweli!

    na Josephat Isango SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda na Naibu Spika, Job Ndugai, wanasemekana kutumiwa na maadui wa demokrasia na mafisadi kummaliza kabisa aliyekuwa Spika wa Bunge...
  8. M

    CHADEMA: Tutafanya Maandamano Makubwa ya Mapokezi ya Wabunge wetu

    Nina furahi sana kusikia mtu anaposema tufuate sheria! Well said! asante sana! Mi nina maswali mengi sana! -hizi sheria ni za upande mmoja? na kama siyo, kwanini mnakuwa na haraka sana kuwaambia wenzenu wafuate sheria? Sheria ipi hiyo? Unaijua? -kama ni uvunjaji wa sheria, hivi kuua wanyama...
  9. M

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Mwigulu darasa la saba umefoji, hivi nchi hii itaenda kaka!Toa utumbo wako! Njoo arumeru mashariki tukufundishe kazi!uongo na matusi havina kazi!
  10. M

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    NI BORA MUWEKE WAZI KWENYE CHAMA NA SI HAPA, CHADEMA STILL NEED US TO KEEP IT MOVING. Usivute watu au usiwalazimishe kukupenda. wale ambao ni wako watakuja wenyewe and they will stay forever. GOD BLESS CHADEMA.
  11. M

    Nape si mzima!!

    Matusi ya hawa jamaa ndo kilichomnyima SIOI kura arumeru mashariki, wapo juu kwa matusi hawa jamaa, kama Mwigulu, Mkapa, na wengine. Hivi kumbe maadili ya chama tawala yanaruhusu matusi? Nilikuwa sijui. Tunajua ni mkakati mlioupanga. Hivi nchi inaongozwa kwa mipasho? Da tutafika kweli. Ushauri...
  12. M

    Hii ni aibu kwa serikali ya JK

    Nooo! You can't be serious buddy! Hey kikwete are you there?
  13. M

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Nadhani na nategemea haki itatendeka, naomba wasipindishe tu sheria, maana sheria ni yetu, kama watanzani tutaacha kutegemea vyombo kama mahakama na polisi ili kufanikisha tunayoyataka yawe, basi upeo wa kufikiri utaongezeka kwakutafuta akili ya ziada,(ujanja na ubunifu) kuliko sasa kwani upande...
  14. M

    Katika hili, Star TV walipotoka

    Lakini si matangazo yatasikika na kuonekana!!! We ulifikiri mpaka jengo la namnagani?
  15. M

    Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    Amefanikisha ziara nyingi za JK nje. Nje kutamu na yeye anataka sasa. as...les:plane::plane::plane::plane::plane::plane: JK JK JK JK JK sasa MIMI[m..be]
Back
Top Bottom