mm nimekwamia Tu hapo kila nikijaribu kuandika namba ya NIDA inasoma inaniletea no record found
, Msaada tafadhali Jana nimekesha kwenye kipengele hicho paka bando likaisha
A
Angalau ww umesadia vizuri kutoa jibu na obviously jeshi ni taasisi kubwa mno shughuli moja haiwezi kukwamisha shughuli pamoja na maadhimisho hayo ambayo kimsingi sehemu kubwa yanaandaliwa na kamandi husika JKT leo Kuna shughuli kibao zinaendelea kwenye chombo tofauti na hayo maadhimisho.
Hakuna uhusiano mbona kati ya miaka 60 ya JKT na kuita watu kwa ajili ya either mafunzo au masahiliano hakuna uhusiano wowote Kama kweli ajira zilitangazwa kwa vijana kutoka uraiani waliopita JKT walikuwa wanamaanisha kweli na sio siasa wakati uliokusudiwa ukifika wataita hayo mambo ya 60...
Kama sababu za kubadili kambi si za msingi Sana namshauri aende hiyohyo aliyopangiwa ni vizuri zaidi....kambi zote za kigoma zitampika vizuri awe mzalendo mzuri(nazungumza from experience) Sina maana ya kwamba kambi nyingine si Bora ila nashuhudia kambi za kigoma kwa kuwa ninazifahamu vizuri...
Jamani wanajukwaa nasika tpdf washanza kuita watu kwa simu Je ni kweli? Kama ni kweli Kama yupo ambae amepigiwa simu humu alete tafadhali tunaomba ushuhuda wa Hilo ndugu wasakatonge wenzangu.
Tangazo limelenga kijana aliyefanya mafunzo na kutumikia mkataba wake kwa muda wa zaidi ya miaka miwili tafsiri yake ni operation za kujitolea na si Mujibu na Wala si operation makao makuu Dodoma isipokuwa operation yeyote mwenye sifa tajwa hakuna sehemu walisema operation makao makuu
Heeh?? Kwn lazima kila mtu awe Askari Kama hawezi apambane na mishe nyingine maanake hataweza kuwa na sifa zinazohitajika kuwa Askari Jeshi afu Kama una professional potential kwa jeshi unaweza kuajiriwa na jeshi even ukiwa na 35 broh.
Alafu concept ni ndogo Sana ndio JKT ajiri ipo wazi lakini asikwambie mtu hakuna kijana yyte anayekwenda kule kujitolea bila kuwa na malengo vijana wote wakwenda kujitolea kule kwa7bu wako committed, wanapassion, na wanakwenda kuwekeza fikra zao mawazo yao yote kwamba Kuna siku fursa ya ajira...
Pambana Kama kweli una nia ya kujitolea kupitia JKT weka cheti Cha Mujibu kando pambania nafasi uone Kama utashindwa kurudi wako wengi wamefanya Mujibu na kujitolea ndugu yangu na wako mtaani Kama wewe katika akili ya kawaida kuwaweka kwenye mizania moja Mujibu na kujitolea katika recruitment ya...
Ni
sahihi unachokisema ndio maana Kuna wakati jeshi linatangaza nafasi za ajira mbalimbali za kitaalumu kutoka uraini km madoctor na maengineer n.k, na kwa kuwa Jeshi ni taasisi lazima iwe na wataalamu mbalimbali na mara nyingi watachukua kutoka uraini lakini nafikiri kwa kuwa makambini JKT...
Nikushauri tu jitahidi kuomba pia nafasi ya kujitolea kupitia JKT kwa umri ulionao huo unaweza ukawa na sifa za kutosha ukiwa umefanya mafunzo ya kujitolea kwa angalau miaka miwili
Alafu Mujibu wa sheria na mtu aliyejitolea for mo than 2yrs hawalingani kivigezo kweli ajira ni changamoto lkn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.