Recent content by Mr.genius

  1. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara ya internet uswahilini

    Sio mambo ya WiFi haya?
  2. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Mwenzangu, kama kuna mahala akienda anaweza kufahamika kwa haraka (Sabab ushindani sio mkubwa) ahame tu hakuna tuzo ya mtesekaji bora!
  3. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Movie Library na Play Station (PS) bado zina soko kwa sasa?

    Mkuu naomba nikuulize maadam una uzoefu. Hivi hii biashara ukimuweka mtu kibandani akufanyie kazi na wewe kama boss, unaweza kuisimamia vipi, hesabu yake mnapigaje na mnalipanaje...?
  4. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania App nzuri ya biblia

    Mimi natumia inaitwa "You version" nzuri sana moja ya advantage yake nachoipendea ni uwezo wake wa ku switch to other bible version yaani unaweza ukasoma KJV ukaenda swahili union, ukaenda contemporary English Version yaani ni wewe tu!
  5. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "nifanye biashara gani?"

    Asante ndugu mtoa mada!
  6. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

    Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
  7. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Basi kama mambo ni hivi, mtoa mada hoja yake inamashiko sana mamlaka wapokee wazo hili.
  8. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Kwa attitude hii, I guarantee you utafanikiwa lazima!
  9. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa

    Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package) Vifaa vipo Morogoro mjini. Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
  10. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mafuta ya alizeti

    Wateja wa Tz ni price driven type of customers yaan tunaaangalia bei ktk kufanya maamuzi ya manunuz kuliko hata ubora saa nyinge. Cha msingi mafuta yawe ktk ubora unaotakiwa na bei nzr vingne ni 'mbwembwe' unless unataka kuji brand kwny soko.
  11. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Naona km watu wa VETA, wanapishana na gari la mshahara hapa demand yoye hii ya machine?
  12. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 60 kinachotushinda ku-solve tatizo la mafuta ya kula ni nini?

    20 acres utaweza kupalilia zote mkuu? [emoji2]
  13. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Tujadili uhalisia wa kilimo biashara cha sasa na kilimo afya

    Mawazo mbadala, kwan hatuwez kulima kibiashara na still tukatunza afya zetu na afya ya udongo? Au mkuu una neno tu na slogan ya 'kilimo biashara' [emoji28]
Back
Top Bottom