Hakuna binadamu mkamilifu hata yeye pia sio mkamilifu,japokuwa maamuzi ni yake ila akumbuke dunia hii tunapita. What goes around comes around
Wanawake ni mama zetu,dada zetu ,Wake zetu, akina delila wetu nk.Akiwa kama mwanaume akumbuke hata yy alifikishwa mahakamani na kiburudisho chake kwa...
Kumbe ndio uliambiwa watu wakikataa huu upuuzi kwa mawazo waache kazi, alafu
Yaan mmebaki na negative perception kwa watanzania,mara watakufa mara waache kazi.
Note mimi Nipo private sector na kila mtanzania anauhuru wa kusema
ndugu sio wote wanaanza kazi na miaka 20-30
Kuna watu wanatafuta kazi anabahatika kupata na miaka 35,level ya elimu unakuta ni cheti
Kokotoa miaka yake ya kazi ni sh ngapi atapata pension, mnapteza ufanisi kazini mkizani mnasaidia taifa, wacha watumishi sasa wawaze maisha kazi ya kuajiliwa iwe...
Mtumishi anaambiwa mshahara ni kwaajili ya kula na kuvaa sio kujenga,Anategemea akiipata pension walau ajenge leo unamwambia unampa 25% ya millioni 75,000,000=18,000,000daaahhhh inaumiza.
Binafsi najiuliza hivi watumishi ndio wanaonekana chanzo kipya cha mapato serikalini, yaan mtu pesa yake alafu apangiwe matumizi, ohhhh Jesus come down and hearing voice of tanzanian civil servant.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.