Recent content by Mr coffee

  1. Mr coffee

    Wanaume tunachangia 75% ya Mahusiano

    Mkuu huu uzi ni mzuri sema umeufupisha mno, ujaujaza nyama za kutosha... subiri wadau wengineo waje
  2. Mr coffee

    Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

    mkuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Mr coffee

    Mpigie makofi mjinga

    hii kali umetisha mkuu
  4. Mr coffee

    FRIDGE NDOGO INAUZWA.

    hiyo ni kutokana na maji ikizimwa but una weza ukafanya renovation ya kuipaka rangi kwa chini it cost less.
  5. Mr coffee

    FRIDGE NDOGO INAUZWA.

    Fanya kama una update kwa ku scroll chini. nadhani ni mtandao
  6. Mr coffee

    FRIDGE NDOGO INAUZWA.

    Habari zenu. wanajamvi, . . . .Kama kichwa tajwa kinavyojieleza hapo juu fridge ndogo used iliyotumika kwa mwaka mmoja inauzwa kwa bei poa, ufanyaji kaz wake ni bora kupita maelezo... . . BEI : 100,000/= . . . NAPATIKANA MAHALI: TANGA MJINI. MIKOANI NINAWEZA KUKUTUMIA. . . . MAWASILIANO ...
  7. Mr coffee

    Natafta kijana wa kuuza duka la dawa iringa

    Mkuu nyooosha maelezo duka la dawa za aina gani? mifugo, dawa muhimu, au mitishamba
  8. Mr coffee

    Nahitaji fridge ndogo yenye mlango mmoja.

    Wakuu, kama Tangazo linavyojieleza ninahitaji kununua aina hiyo ya fridge kwa matumizi yangu binafs, nakaribisha yoyote mwenye nalo kwa mazungumzo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mr coffee

    MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    [emoji23][emoji23][emoji23] Hawa maafisa ovyo sana eti ananidanganya na kuniona lofa sana, kwa kuniambia TRA wanachukua 800 Tsh ikiwa mtu anauza 15000tsh kwa siku ... harafu aka malizia na neno tu! !! Mbaya zaidi akajifanya anakorogakoroga mahesabu mengi ili nisimuelewe, mwisho wa siku ni...
  10. Mr coffee

    MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Mkuu sasa hivi hela ngumu , jamaa alikuwa kila akinipindisha aliona sipindi akaamua kunipa go ahead nkaanze biashara then ndo niende Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mr coffee

    MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Asee kweli ngoja nimfuate aniandikie barua kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mr coffee

    MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Mkuu, Naomba kuhuliza swali, JE kuna uwezekano wa kufuatilia leseni ya biashara kabla ya kupata TIN number kwa maana nilifika TRA kuanza hatua za awali za kupata Hiyo namba ya mlipa kodi lakini baada ya kukinzana kwa hoja kati yangu na bwana mmoja wa TRA ambaye alikuwa akinioji kuhusu biashara...
  13. Mr coffee

    Msaada wa jina zuri la duka la pembejeo za mifugo.

    duh! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mr coffee

    Msaada wa jina zuri la duka la pembejeo za mifugo.

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mr coffee

    Msaada wa jina zuri la duka la pembejeo za mifugo.

    Ze last born Papuchii tena Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom