scientist 08
Member
- Aug 8, 2017
- 66
- 40
Anahitajika kijana Mwenye uzoefu, Eneo la Kazi iringa, Malipo na Maswala mengine nimakubaliano, kigezo awe amewahi kufanya Kazi hiyo na pia awe na cheti cha
addo
addo
mkuu habar nadhani litakuwa DLDM heb nipe mwongozo ukitaka kufungua hatua za kufata pamoja na changamoto zake.ahsanteAnahitajika kijana Mwenye uzoefu, Eneo la Kazi iringa, Malipo na Maswala mengine nimakubaliano, kigezo awe amewahi kufanya Kazi hiyo na pia awe na cheti cha addo
Salary njoo pm maelewanoNipo hapa boss
Sema salary ngp?
Iringa wilaya kiloloIringa sehem gani lipo? Nmconect mtu
Binadamu mkuuMkuu nyooosha maelezo duka la dawa za aina gani? mifugo, dawa muhimu, au mitishamba