Recent content by Mr. Clean

 1. M

  Members wa JF waliojiunga 2007 njooni tusemezane

  Tupo wa jamboforums!
 2. M

  Nina 5mil nahitaji gari

  Sawa mkuu, je ila kumbuka offer ilikuwa pungufu ya 5m japo mhusika alitaka 4WD ............MWINGINE anahitaji zile PickUP ndogo NissanSunny vifupiiiiii...unacho?
 3. M

  Nina 5mil nahitaji gari

  Hongera umejikomboa kula vumbi na kuwakiwa jua.....mie bado nasubiria uchaguzi uishe, member watulie waniletee gari nililotangaza nahitaji. ....mwenye nalo tuwasiliane..aidha PM or whatsapp.....
 4. M

  Gari Suzuki Vitara inauzwa

  Mkuu nilipost hapa nahitaji gari kwa 5ml....japo hilo ni milango mitatu....si haba kama halijapataga ajali.....tulifanyie inspection kwa dau hilo.......
 5. M

  Mwongozo wa kununua gari iliyotumika

  mwongozo wako umekaa vyema kiuchambuzi hasa kumfaa mtu kiuchumi.......niliandika hapa gari(used, but in good condition) lahitajika, bado demand ni open..
 6. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Yes please, unayo aina gani ya gari mhe.
 7. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  galaibomba, jina lakumbusha historia ya huko mlima volcano arusha......ahsante mkuu ila nimeambiwa milimani mitsubishi si njema saaaana..
 8. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Japo nimeshauriwa nisiweke masharti.....hatahivyo, inayohitajika gari ndogo ya abiria sio ya mizigo.
 9. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Ukitaja type au model yake itapendeza zaidi mkuu.
 10. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Nashukuru wote kwa majibu, kwa aliyeserious isipokuwa mkuu mgosi9(nilishasema used), kuweka picha kunaongeza hamasa kwangu na kwa mwingine anayehitaji pia...lla sina hakika kama Toyota Cam itapata priority(ni 4WD kweli)
 11. M

  Gari linahitajika, 4WD, not more than 5 million not less than 4 million

  Gari lenye hali nzuri japo sio jipya (used)...lenye 4WD kwaajili ya kuhimili barabara za vijijini linahitajika....gharama iwe reasonable...about 4mio to 5mio....mwenye nalo awe tayari mnunuzi kulifanyia inspection ya kina...mahali DAR ES SALAAM....Kwa mawasiliano zaidi let's chat in PM...
 12. M

  Ukiangalia utafikiri picha ina move lakini sivyo

  SHOOyaKIBABE, ESHY m.s, sister majibu yenu yamenifanya nicheke hadi mbavu kuuuma hadi kulog inn leo!!!.....basi niendeleze: True true true true........
 13. M

  CHADEMA Bunda.

  Nimeangalia kny kamusi, yaonesha ifweero ni jina la kichagga (nilipitia shule huko kwao moshi), lina maana na Kipoozeo! sasa hapo ndo pana shida ni kipoozeo katika muktadha gani: mwanamke ' it can be! ila kama ni mwanaume mmm! s..ga?
 14. M

  KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

  Infact, there's a point. Tusitegemee kikubwa zaidi ya hapa. Kova cheo chake mwisho dar, kapuya yupo urambo. Angesema andengenye tungejadili zaidi! Btw, kapuya ndo alimpa cheo alipokuwa waziri wa ulinzi na mambo ya ndani (wizara ilikuwa moja)
Top Bottom