Nina 5mil nahitaji gari

Hongera umejikomboa kula vumbi na kuwakiwa jua.....mie bado nasubiria uchaguzi uishe, member watulie waniletee gari nililotangaza nahitaji.

Ok poa ukitaka kunajamaa yupo poa sana ni dalali anahuhakika na gari zake kabla hajauza
 
Ok poa ukitaka kunajamaa yupo poa sana ni dalali anahuhakika na gari zake kabla hajauza

Sawa mkuu, je ila kumbuka offer ilikuwa pungufu ya 5m japo mhusika alitaka 4WD ............MWINGINE anahitaji zile PickUP ndogo NissanSunny vifupiiiiii...unacho?
 
Mm nakushauli sana unaweza kupata gari moja kwa moja toka Japan na isifike m5 nakwambia kweli kwasababu mm nafatilia na najua kuhisu hili nitafte nikupe maelekezo unapata gari unalisafirisha na unalipia ushuru jumla ya gharama zote dolla 2100 so kama kweli unayonia mm nitakusaidia kwa kukuelekeza....mm nipo mwanza pia kwa wanaotaka kuagiza magari wanione tutafanya biashara nzuri sana utapata gati zuri na utafrahia uduma hiii 0788453209

Aisee.......nilikuwa natafuta sana hii........na rafiki zangu wengine nao walikuwa wanataka.......ngoja niwaite.......
Kaizer...... MANI..... RRONDO........ Mshana Jr...........
 
Last edited by a moderator:
Kuna toyota corola namba A, milioni sita, ipo road inafanya kazi na haina tatizo lolote. Ukitaka nipm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom