Recent content by Mr castan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

    Kumbe wewe una element za kibinafsii ndio maana fursa hii haikuja kwako [emoji23]pengine mungu alijuaa autakua baraka kwa wengine kwa kuwafunguliaa A B C pengine wewe ungeweza kukaa kimya na kupata Hela peke yako mwenzio ameonelea na wengine pia ambao wapo passioned na uandishii wanufaike pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawapa wazo la biashara litakalobadilisha maisha yako 2023

    Bongoo utakoma mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Sisi n ma hater ndio kwanza watu Wana dislike
  3. M

    JamiiForums Tanzania NINUNUE GARI GANI?

    Crown unyamwezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba wazo la biashara ambalo halitaathiri masomo yangu

    Mr mshana ile biashara ya oil chafuu haitafaaa Kwa wanachuo Anatengaa tuu mda au
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Hizi Biashara za uchuuzi ndio huwa zinatufanya tuone biashara ni ngumuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi sifa nzuri za vijana wa IT UDOM zina ukweli wowote??

    Wanafunzi huwa hawapewii watengeneze system ya chuo for security issues In realty mwanfunzii anapewaje mfumo atengeneeze wa kuifadhia matokeoo yake Kumbuka apa tunaongelea wanafunzi wenye uwezo sio matechnician wa chuo Na walii hack ni wanafunzi so far
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi sifa nzuri za vijana wa IT UDOM zina ukweli wowote??

    Numbers do not lie Mashindano ya cyber-challange ya tcra umefatiliaa ?? Mashindano ya cyber Africa umefatiliaa ?? Umewai kuwaza offer wanazotoa Huawei kwa IT specialist udom?? Umefatiliaa projects za IT udom zinavochukuliwa na kutumika katka taasisi za tanzania?? Unajua makao makuu ya E-gvt...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Fungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii pia. Ni bora kuliko kusave ela invest ela.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuanza biashara hii ya kununua zao la mpunga kuweka store na kuuza wakati thamani ikiwa juu

    Asante boss ntazingatia na kukutafuta unipe uyo mtaalam zaidii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuanza biashara hii ya kununua zao la mpunga kuweka store na kuuza wakati thamani ikiwa juu

    Nipo Dar-es-salaam Nahitaji KUWA broker wa mpunga .. Kununua mazao ya mpunga kati ya morogoro au mbeya. Nahitaji kupata mchanganuo nawezaje Kuanza biasharaa hii ya kununua zao la mpunga kuweka store na kuuza wakati thamani ikiwa juu. NAHITAJI KUFAHAMU Mtaji wa gunia 100? Gharama za uhifadhi...
Back
Top Bottom