Recent content by Mr Benja

  1. Mr Benja

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Kuwekeza ni bora zaidi kama mtaji wako haugawanyiki.. ila kama una excess ya fedha kujenga na kupata usafiri hakuna matata
  2. Mr Benja

    Kijana auawa kwa kulawitiwa na kuingiziwa chupa kwenye utupu

    Homao inatakiwa korodani zao zibanwe
  3. Mr Benja

    Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Nenda WATU.. ofice zao zipo mwenge mpakani pale kalibi na vinyago
  4. Mr Benja

    SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Umenifikirisha sana mzee.. More blessed
  5. Mr Benja

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Walio fanikiwa kutuma njooni mtupe marejeo...? No notification baada ya kusubmit..!!![emoji1781][emoji1781][emoji286]
  6. Mr Benja

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Nimeaply zaidi ya mara 7 lkn inanirudisha mwanzo...kila kitu nimeweka sawa. Hii ipoje wandugu..?
  7. Mr Benja

    Naombeni ushauri wadau, hili ni tatizo gani?

    Acha kula vinywaji vyenye baridi
  8. Mr Benja

    Nafasi za kazi TANAPA

    Age limit mbona imekuwa deal sana...wamesahau since graduates wa 2015 hakukua na ajira mpya..?
  9. Mr Benja

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Msaada kwa walio apply..vip kuhusu hili swala la umri..? Hiv system inaweza kukukataa ukiwa above 30..?maana nimeona kwenye jobportal wameweka alisterik kwenye birthdate
  10. Mr Benja

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Msaada kujibiwa wadaw... 1.Risks zake kubwa na muhimu kizijua ni zipi..? 2. Ni vitu gani vya kizingatia ili kuepoka loss. 3. Je kuna ubabaishaji wowote wakati wa kununua, kusafirisha na kuuza pale kiwandani..? 4. Mtaji wa milioni moja 1M ni mzuri kianzia..?
  11. Mr Benja

    Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

    Wanatuibia visenti vyetu
  12. Mr Benja

    Ukweli ni upi?

    Hapo ni jambo la kuupa mmea stress juu ya mazingira na hivyo kujiona unaelekea kupoteza maisha bila ya kuacha kizazi chake.. ikiwa hivyo unajibadili kuwa katika hali ya kike na kuanza kuanza kuzaa matunda yenye mbegu
  13. Mr Benja

    Skills 5 rahisi za kuwa nazo 2021

    Information muhimu sana hizi...
Back
Top Bottom