Recent content by Mr bee94

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume tu

    Boksa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    WASIFU 1.Umri miaka 27 2.Elimu Diploma 3.Dini mkristo 4.Rangi mweusi 5.Kimo wastani Sifa za ninae mwitaji awe mke 1.Umri 20-26 2..Elimu kuanzia form 4 na kuendelea 3.Dini awe mkristo 4.Awe na hofu ya mungu 5.Asiwe mlevi
  3. M

    JamiiForums Tanzania “Kaka nakuomba basi unioe “

    Bro usidharau wanawake kumbuka ndo umezaliwa nao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimetajiwa mahari milioni 7 ili kuoa kwenye hii familia

    Piga chini,hawataki uoe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Kwanza pole Sanaa,nakushauri uachane na huyo msichana Kama saivi ameanza vimbwanga je ukiweka ndani si ndo itakuwa balaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Wairaq marage ya mbea mjomba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Tupe na hyo ya F F U
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Nashukuru Kwa ushauri nzuriii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Asantee mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Asantee Kwa ushauri mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Asante
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Habarini za muda huu wana Jf Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar...
Back
Top Bottom