Recent content by mpyonko

  1. mpyonko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukimbilie kuwa na mwanaume mpya wakati haupo tayari kubadilika?

    Unaonekana una roho mbaya Sana we mwanamke looh!
  2. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM

    Njooni mjibu hoja tena baada ya uchaguzi, niliwakadiria wabunge saba bahati nzuri kwenu hata wawili hamkupata mmeishia mmoja tena yule ambae hata hakutegemewa! [emoji23][emoji23][emoji23] Mmejimaliza wenyewe. Ushauri wangu kwasasa jaribu kujenga hata kijiofisi cha makao makuu hata cha milion...
  3. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Hata ukimchukia haisaidii chochote sana Sana itakuzeesha na kukusabsbishia makunyanzi usoni. Raha jipe mwenyewe
  4. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Ni kweli kabisa Mbowe akigombea ubunge ataaibika vbya Bora ajifiche huko huko kwenye urais
  5. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tuna elekea dodoma kama makao makuu ya nchi
  6. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Namwombea msamaha mheshimiwa Rais kwa Wakristo wote lakini Mungu hadhihakiwi

    Hivi wewe unaelewa unachoongea kweli? Ni matengenezo gani anayoyafanya ndani ya kanisa? Ona mauaji, ona uonevu, ona vitisho, ona utekaji, ona kiburi ...haya nijibu matengenezo gani anayoyafanya ndani ya kanisa?
  7. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Namwombea msamaha mheshimiwa Rais kwa Wakristo wote lakini Mungu hadhihakiwi

    Maaskofu ni watu kama mimi na wewe kweli na hata Magufuri ni mtu kama mimi nawewe lkn tofauti kati yetu inakuja pale tunapotazama nafasi zetu ktk maisha...maaskofu ni watumishi wa Mungu na wewe ni mtu ambaye unatumikia tumbo lako na Magufuli ni Rais wa Tanzania ....Unapo nena dhihaka juu ya...
  8. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Una uhakika gani kama wanakula maharage?
  9. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Baba yake Diamond: Mwanangu ananisikitisha sana, nilishawahi kuhisi sina mtoto

    Upo sahih kabsa
  10. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Toyota Stout pick up 2200

    Una bei gani
  11. mpyonko

    JamiiForums Tanzania Tyre ya pikipiki

    Kariakoo zimejaa tele
Back
Top Bottom