Recent content by mpyepye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nchi za nje

    Le mbululaz.. lambda ampe michongo ya instargram party.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana, nimemuona Mchungaji Mbasha (Mme wa Frola Mbasa)

    Inawezekana alikuwa ni mmoja wa waliobahatika kubeba zile sandarusi za escrow ...akawa anasikilizia upepo unaenda vipi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojionea Msumbiji; Ile sio nchi, ni genge la wahuni wanaonyanyasa waafrika

    haaa! pole blaza ila hao sio polisi wetu wa Tz tuliowazoea kama babu zetu.. siku nyingine jifunze.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    Le mutuz alitoa ushauri wa bure kwa ma diaspora kuwa warudi home.. huku vilevile wanaweza toboa .wakamuona mbululaz.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa CD za maonyesho ya miaka 50 ya Tanganyika na jinsi JWTZ walivyokuwa wakifanya vitu vyao

    Mm namaanisha ninachoeleza...wakati mwingine utumie akili kidogo unahadithiwa kitu nawewe unakurupuka kuleta mbele mbele acha hiyo silazima kila unachosikia au kuhadithiwa ukiandike mengine yasikilize tu..kingine inaonekana we ni bogus kimtindo au utakuwa ni mtoto wa mama ..umbea ukisikia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aua mpita njia kwa risasi

    Ifikie wakati sheria za umiliki wa silaha zizingatie historia ya muombaji.. maana mpaka mataahira siku hizi wanakabidhiwa silaha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowaasa Aiteka Zanzibar Xmass

    Ni sahihi kabisa kama binadamu hawezi kuwa mwema kwa kila mmoja ila ukweli utabaki pale pale huyu jamaa ni Kiongozi bora.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nchi za nje

    bora uwe muwazi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    hakuna miujiza mkuu..ni uhalisia huo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa CD za maonyesho ya miaka 50 ya Tanganyika na jinsi JWTZ walivyokuwa wakifanya vitu vyao

    hapo ndipo unajua matumizi ya sigara korofi ni janga.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    2015 sio mbali mkuu.. mwamba wa kaskazini atarudisha heshima.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

    Uzi mreefu lakini hovyo kabisa.
Back
Top Bottom