Recent content by mpwisa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

    Comedy kweli!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!

    Brevis 1.ulaji mafuta 2. Changamoto ya matengenezo ya injini (ipo tofaut kidogo)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Tunazipataje Mkuu? Nipe location na namba pia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

    andika basi wewe nikuelewe, niliyokupa ndiyo fact
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

    yaani wewe ndo mweupe kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Kwani tunaishi au tunajiandaa kuishi? Vitu vingine tunadanganyana tu, ukifuata hizo kanuni utachakaa mapema sana eti ili utoboe. Kuna raha gani sasa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    Hii vita Russia itamtoa kamasi, haiishi. Hadi atadhoofika, japo yeye ndiye anapiga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    kama uliizima na kuilock na mfumo wa alarm, ui unlock kwanza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    nani anayeandaa hiyo content unayodownload au kusoma mtandaoni? mostly ni haohao unaosema huwahitaji Sema una ujumbe flan unajaribu uufikishe isipokuwa umekosa approach nzuri, ila kuwakosea heshima waalimu wote utakua umekosea, kwa maoni yangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    We mwenyewe unaonesha ni kiaza +, hueleweki umeandika nini, umetupotezea muda tu kusoma andiko kuubwa ndani hamna kitu. Inaonesha una chuki kubwa na walimu, bila hoja za msingi. Walioua, waliobaka, wezi na wakosaji wengine wote waalimu? Panua fikra zako kidogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    wakati mwingine ni dalili za pump kufa. Pampu huanza kubujisha maji taratibu, hatimaye inakufa kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kukanyaga mafuta wakati gari ipo kwenye Parking Mode kunaweza kupelekea Battery la gari kuishiwa nguvu?

    I boost kwanza, washa gari tembea umbali km 10 atleast then angalia baada ya muda kama itapoteza chaji Usikimbilie kwenye alternata au betri mpya kwanza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Zina shida gani? Naziona zipo vizuri, haswa kama ni private. Unless uitumie kibiashara
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

    Mhhh RPM vs Speed, vina uhusiano lakini sio kama unavyoeleza Spidi ni ile ile regardless ya RPM Isipokuwa RPM inahusianisha spidi na vitu vingine, mfano acceleration, fuel consumption, horse power.... Mfano gari X inaweza kufika speed 100 kwa rpm 2, wakati gari Y unahitaji RPM 2.5 kufika spidi...
Back
Top Bottom