Recent content by mpwakimeo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila Muhammad Musa Alkhawarizim (Algorthim),huyu ndio baba wa Mathematics na Computer science.

    Hiyo ni kabla ya makobazi. Makobazi yalipoingia, wakavunja taasisi zote. Sayansi na elimu ikaishia hapo. Hawa watu wameirudisha dunia nyuma sana. Ila leo wanajimwambafai na vitu walivyopiga marufuku.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

    Unazaaje na Mlevi mbwa, malaya, mbakaji, Mbususuman???????? Wewe ni tatizo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

    Hata shuleni na vyuoni ukabila ni mwingi. Chuo nilichosoma Kuna kabila wanafunzi wake walikuwa wengine kuliko makabila mengine.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Kuna mtu anapigwa mia4 muda si mrefu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sports academy

    Asante sana. Nitapita huko.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sports academy

    Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo. Kama Kuna mtu anazifahamu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Website na Apps Kwa wenye uhitaji

    Website ni bei gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    A Asante sana, ila nimeshapata connection ya Uganda na ni very Simple.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mashuka kutoka Uganda

    Kama mtu anahitaji kununa toka Uganda, anayapataje. Kama kuna mwenye connection au uzoefu ni vizuri kushirikishana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Kwa Mwanza kama wewe ni mwenyeji, napata wapi hii huduma?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza nissan note kwa bei ya kizalendo nimekwama

    Ukipata Xtrail ya kizalendo kama hii nicheki kaka.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya kurundika/kumiliki vitu vingi kuzidi uwezo wa kuvimudu au kuvitunza

    Umeelezea vizuri sana na ndio uhalisia wa watanzania wengi. Ila no 7..... kitanda bana.....hapana. Mi na mwenzangu bana huwa kutoka cowgirl kuelekea misssionary, tunabingirika tu mpaka missionary. Sasa kuna siku tulisafiri. Si tukajisaulisha, tukajua tuko kwa Mkapa. Ile kubingirika tu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Website design...

    Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.
Back
Top Bottom