Recent content by mpuuzi

  1. mpuuzi

    Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

    Mnamsema Mukama yupi? Huyu KIAZI aliyeanza siasa mwaka huu? Yan mtu hana hata mwaka kwenye siasa akimbiwe na Jabali la siasa za Tanzania! You cant be serious
  2. mpuuzi

    Mke wa Rais ana madaraka gani hapa nchini?

    mbona wa kwanza nasikia alishakufa siku nyingi?
  3. mpuuzi

    Mke wa Rais ana madaraka gani hapa nchini?

    post yako ina chembe chembe za udini
  4. mpuuzi

    50 Greatest Tanzanians (minus politicians)

    Kingwendu na Bambo
  5. mpuuzi

    50 Greatest Tanzanians (minus politicians)

    Joti na Mpoki
  6. mpuuzi

    Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

    umesahau waomba utaratibu na wagonga meza
  7. mpuuzi

    Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

    umejuaje kama na wewe sio mdini?
  8. mpuuzi

    Breaking Newz: Kizaza habari maelezo watimuliwa!

    tuweke records clear. Hapo penye ***** ulitaka kuandika MKW€RE
  9. mpuuzi

    Breaking Newz: Kizaza habari maelezo watimuliwa!

    teh teh mkuu unajiuliza mwenyewe unajijibu mwenyewe
  10. mpuuzi

    Mbunge wa Mbalizi (CCM) mbaroni kwa tishio la mauaji

    TBC wehu kweli, hawajataja jina lake wala chama chake. Angekuwa wa CDM tungetajiwa hadi wajukuu wake
  11. mpuuzi

    Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

    Mukama ni punga tu, sio saiz ya Dakta Slaa
  12. mpuuzi

    Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    kweli mkuu, nilikuwa na demu mmoja alimaliza SUA sijui ndo Agricultural Engineering, sasa hivi ni afisa mikopo PRIDE
  13. mpuuzi

    Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

    sasa kama kahama wilaya yenye migodi miwili mikubwa sio ya kwanza Tanzania kwa utajiri ndo ikawe Ilala?
Back
Top Bottom