Recent content by mputura

  1. mputura

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Kwahyo unataka waingie ktk uchaguzi ili waibiwe kula kama ilivyokuwa ktk uchaguzi uliopita sio"ujinga ni wakati wa kwenda tu"
  2. mputura

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuprint T-shirt heavy duty

    Labda umeongeza sifuri alimaanisha $8, 000 [emoji56] hyo pesa ndefu ili uweze kurudisha na kupata faida sio mchezo kwanza unatakiwa tayar uwe unafahamika pia uwe una matangazo sana hasa kwenye mainstream media out of that brother ur going to die
  3. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Hapo nimekupata mkuu wa kaz, sasa nisaidie kaz ya customer care hyo inaweza kuwa skilled maana hakuna bachelor hyo hapo imekaaje mkuu
  4. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Sasa hapo kwenye kufukuzwa kazi ndio pananihusu boss cwez pata yote??
  5. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kajichanganya au ndio uelewa wake ulipoishia???
  6. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Kabisa yaan serikali ni [emoji706][emoji706][emoji706]
  7. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Kabisa yaaan serikali ni [emoji706][emoji706]
  8. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Kufukuzwa na kuachishwa tofauti iko wap??lazima waajili wakupe termination later au barua ya kuisha kwa mkataba wako zote nssf wanapokea na unalipwa ondoa hofu ishu sasa kupata mpunga wote kama wewe graduate hapo ndio shida
  9. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Sasa ya mwajir ulitaka iwe mali ya mwajiri hii sheria imebadilika hapa mwaka jana tu kama ulikuwa ufahamu haya mafao yaligawanyika kuna watu wanafanya kaz na mikataba inaisha au anaachiashwa kazi sheria ya mwanzo ilikuwa inamruhusu huyu mnufaika kuchukua pesa yake yote cjui umeelewa hapo...
  10. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Hizo fikra ndio tunatakiwa tuziondoe kuona serikali wamefanya kitu sawa pesa yangu nimekatwa kwenye mshahara wangu alafu unipangie mashart ya namna hyo na aya mabadiliko yamekuja mwakajana ambapo sisi tulikuwa tumeanza kuchangia tayar, tupo na viongoz ambao wanajiangalia wao tu upande wa wabunge...
  11. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    How comes ushikirie ela yangu mwenyewe pesa hata mil 10 haijafika ukasema inisaidie uzeeni serious badala ya kuniachia niwekeze kwenye biashara ili investment zangu zikue sasa kama nahitaji niwekeze kwenye real estate itakuwaje unahold pesa zangu na mim ni kijana chin ya miaka 30 malengo ni yap...
  12. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Yaan ipo chin ya mill 5 nisichukue yote nimwachie nan sasa nataka nipate mtaji wa biashara benk cnavigezo hii ndio naitegemea nako figisu ndio hizo kibao
  13. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    NSSF watajuaje kama kazi niliyokuwa nafanya labda nilisubmit chet cha chuo labda nikisema cjaenda chuo na pale niliingia kwa chet cha form six tu kwa connection hapo vip pesa itatoka na nikiwa na evidence kutoka kwa HR nisaidieni nduguyangu hii kwangu iko serious sana nina biashara sina mtaji na...
  14. mputura

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Sasa kuna watu nilikuwa nafanyanao kaz hapa na waliachishwa kaz walivyoenda wameshindwa kupewa yote wanachukua kwa awamu hapo shida nin??
Back
Top Bottom