Recent content by Mpungati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    Halafu bado hawa hawa wanalitaja jina la mungu kila wasimamapo.daaaaah.all God anajua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, walimu wananyanyaswa upo kimya, kazi yako ni ipi?

    Ni lipi,sio hipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Baada ya kuhesabu kura.mawakalana wasimami watatangaza na kubandika matokeo kituoni.swali??WANAMTANGAZIA NANI IKIWA PALE NJE HAMNA WATU??WANABANDIKA YA NIN KAMA WATU HAWARUHUSIWI KUYAONA NA KUYASOMA??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiifungia Mawio ya akina Kubenea hata siwezi kuumia, nitachukulia kawaida tu

    Kalifungie UHURU ndio uje kuzungumzia mawio.. Usisahau pia mwanahalisi limerudi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

    Lowasa.. Ndiye Rais ajaye.. Jifariji tu na akili zako ndogo Za kutumiwa. LOWASA hawez kukubal kutumiwa kama njia yakumpa ushindi. Magufuli... Yeye mwenyew anautak urais na watanzania wanaobadilika wamesema Yes
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Hai.. Unaisahau vipi kwa the man himself
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakatae Maaskofu wa aina ya Gwajima

    Mbona slaa mmemsafirisha?? Mlipieni press conference tena akachokonoe moto.. Hana fadhila, mzee unalindwa unapikiwa, boss unamwita mshenga?????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Ukimjib kichaa unakua kichaa Mara mbili Zaid
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Akimbie chadema ndio akimbilie ccm?? Kama sio unafiki ni nin.. Mimi nampenda hata yeye ndio inspirational factor kwangu.. Ila nimempuuza.. Ni Sawa na kuandaaa pilau la nyama Safi afu ufike wakat wakula ulitie mchanga na mafuta ya taa.. PILAU HALILIKI TENA JUHUD ZOTE ZA AWALI ZINAGEUKA KUWA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Unataka Rais mtawala jukwaa kwann uspende kumtafuta huyu mtu kwenye maharusi na kitchen part?? Kabla hujaropoka jitafakari.. Wee need a super leader talking much for nothing is worthless my dear
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA NA CUF: Bado mnaamini ni bora kuwapoteza Dr. Slaa na Prof. Lipumba na kumkumbatia Lowassa?

    We nae hukat tamaa tu??? Propaganda hizo Za kimbuzi.. Unaona wanafaa sana??? Lipumba anawahitaji
  12. M

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili Tumewachoka!

    Wana ccm Wana ugomvi na facts... Kuna ubaya gani kama lisemwalo lipo??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Mi Nina akili chache sana.. Nataman kuuona ccm ikiwa dhaifu TUU.. I don't care how
  14. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya CHADEMA ni double standards tumeona Bunda leo

    Nyani haonagi kundule
  15. M

    JamiiForums Tanzania ITV jamani, mmenunuliwa?

    Waraka...???? But same results kifo hakizuiriki
Back
Top Bottom