Hujaelewa kabisa! Hapa historia haihitajiki! Tunaangalia tukio ambalo limetokea. Na shida siyo Rais Samia au viongozi wa Africa kupanda basi. Kinachojadiliwa ni ngozi nyeusi na nyeupe! Ngozi nyeupe wamepandishwa gari maalumu na wengine kuingia na misafara! Niambia kiongozi gani wa Africa...
Sasa compile simulizi zako zote
Sasa compile simulizi zako zote peleka kwa publisher utatoa kitabu kizuri sana cha riwaya. Unacho kipaji kifanyie kazi.
Yaunganishe haya machapisho yako utatoa kitabu kizuri sana utakachoweza kukiuza na kuagana na umaskini. Uko vizuri kwenye kutunga hadithi kwa kweli. Hongera sana.
Sawa! Lakini hajawahi kutokea tangu uhuru mtu aliyepiga vita madawa ya kulevya kama Makonda. Kafanya mengi mazuri mnamshupalia kwa makosa machache kwa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.