Pole mkuu mimi ilinikuta kigoma sina mwenyeji nikakomaa siku nzima nakunywa maji we tumbo likaanza kuuma nilikutana na muhogo umetupwa mbichi, mbona niliushangiliaa
Kwa wale msioijua njaa ikoje
Njaa ni kitendo cha kukaa muda mrefu bila kula huku ukiwa hujui utakula nini na ni wakati gani
Hiyo ndo inaitwa njaa,
Achana na hizi njaa ndogo ndogo
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada...
Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy, boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi.
Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe.
Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari Toyota Land Cruiser, alipotoka tu nikaenda kufungua gari...
Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi
Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe
Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi
Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe
Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa
Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu ikaanza kuisha mdogo mdogo baada ya demu kujiongeza na kukaa kimya
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu...
Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.